Kuna mfanya biashara anayeongezewa gharama kwenye biashara yake, asiipigie hesabu kwenye bei ya bidhaa zake? Wakipanga hiyo 18% waanzishe kiti kama "technology fee" au wakipe jina lolote, serikali inadhibiti namna gani wakati upangaji wa gharama za huduma za mabenki walishaachiwa wenye benk waamue?