Good news for gamers


mzee hii torrent hata mi niliiona nikaipiga chini si kwa sababu ya ujazo bali haina uhakika...ukiangalia comments pale chini utaona kuna watu wengi wanalalamika kuwa inacrash uki launch game ingawa kuna waliofanikiwa..sasa inakuwa ni ujinga kupoteza wiki nzima ku download hizo 6GB afu hamna kitu ...kuliko kuliko kudownload hiyo ni bora mkuu aicompress hapa hata ikiwa 10GB angalau mtu unakuwa na uhakika...
 
Sawasawa mkuu hata mm nilifikiria hiki kitu, ni kubwa halafu comments za watu zinachanganya sana. Wengine wanadai iko poa wengine wanasema inamatatizo sasa ninaweza nikajilipua week nzima halafu nikakuta kitu chenga sijui hata nitalia na nani. Bora nisubiri ya mheshimiwa mzeewaloliondo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…