Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,379
sijaribu hii ki2 lakn ngojea nchangie tu! cha kvfanya inabidi ui ping 0.facebook.com but thats not the solution caz italeta facebook ya kawaida (www.facebook.com} msiwe wavivu itabidi mu iping mpaka kieleweke ili ilete 0.facebook.com ITS POSSIBLE BUT INAHITAJ MDA NA RESEARCH NYINGI
nipe details zaidi kwa hiyo unachomaanisha ni kwamba hata 0.facebok.com yenyewe kama yenyewe haingi au vp lkn nakumbuka mda flan ilikuwa inaingia ukitoa mautundu
wakuu, ukiwa munasema na kunadi kuwa "kuna uchochoro mwengine", unadhani wenyewe ndio watukuwa hawajui free pages zao. ?? bila shaka wao wanakujua unakusudia nini. na utapoweka ip ya huwo uchochoro, unadhani wao ndio hawawezi kujua ip reverse lookup? kwa ufupi tunatakiwa tuwe kimyaaaaaaa. au more than kimya. na zantel nao wameshaanza kublock baadhi ya lain. hazi connect zikiwa hazina hela. soon itakuwa hakuna free tena. mitandao yote itabanwa. keeeeeep the silence!!!!
No way mkuuDah guys kwisha habari kabisa zote zmeblokiwa upenyo uliobakiwa ambayo ilikuwa ni
mini.vodafone.com
nayo imeblokiwa, wametuweza kwl, Basi huu ndo ule muda wa kusema forget all and move on.
Its so sad but thats it.
Dah guys kwisha habari kabisa zote zmeblokiwa upenyo uliobakiwa ambayo ilikuwa ni
mini.vodafone.com
nayo imeblokiwa, wametuweza kwl, Basi huu ndo ule muda wa kusema forget all and move on.
Its so sad but thats it.
dah guys kwisha habari kabisa zote zmeblokiwa upenyo uliobakiwa ambayo ilikuwa ni
mini.vodafone.com
nayo imeblokiwa, wametuweza kwl, basi huu ndo ule muda wa kusema forget all and move on.
Its so sad but thats it.
cha kvfanya n rahic inabidi ui ping 0.facebook.com but thats not the solution caz italeta facebook ya kawaida (www.facebook.com} msiwe wavivu itabidi mu iping mpaka kieleweke ili ilete 0.facebook.com