Good morning dear Tanzanian

Mkuu hauko serious yaani umsogelee askari umpige picha akuangalie tu , nawewe unaingizwa kwenye kichapo Na kisimu chako cha machina, hujiulizi kwanini CCTV camera zilitolewa tukio la tundu lissu
Hahaha ngoja nicheke huku nina huzuni ya moyoni.
 
Mkuu hauko serious yaani umsogelee askari umpige picha akuangalie tu , nawewe unaingizwa kwenye kichapo Na kisimu chako cha machina, hujiulizi kwanini CCTV camera zilitolewa tukio la tundu lissu
hata ile PAAH... hatoisikia....
tutaambiwa marehemu alikua anamfwata askari na silaha kwahiyo akawahiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ