Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 844
- 1,608
Mgombea Urais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Gombo Samandito Gombo amesema kwamba atakapopata ridhaa ya kuongoza nchi atahakikisha wanasiasa wote waliopewa kesi za uhaini wanaachiliwa huru.
Edit hapo umekosea wanasiasaMgombea Urais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Gombo Samandito Gombo amesema kwamba atakapopata ridhaa ya kuongoza nchi atahakikisha anasiasa wote waliopewa kesi za uhaini wanaachiliwa huru.
Huyo ata udiwani awezi pata.viongozi kipindi cha uchaguzi tuu😂😂Mgombea Urais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Gombo Samandito Gombo amesema kwamba atakapopata ridhaa ya kuongoza nchi atahakikisha wanasiasa wote waliopewa kesi za uhaini wanaachiliwa huru.
Mgombea Urais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Gombo Samandito Gombo amesema kwamba atakapopata ridhaa ya kuongoza nchi atahakikisha wanasiasa wote waliopewa kesi za uhaini wanaachiliwa huru.