MBOKA NA NGAI
JF-Expert Member
- Jan 31, 2025
- 496
- 768
Baada ya mji wa Goma kuangukia mikononi mwa M23,
baada ya majeshi ya SADC kufukuzwa na waasi wa M23,
baada ya kujaribu kuwateka akili na kurudisha mji huo mikononi mwa serikali, na kushindikana,
leo hii, Joseph Kabila kabange, rais mstaafu wa DRC, amejiunga rasmi na kundi hilo la AFC/M23. Baada ya yeye, pia tajiri mkubwa na mwanasiasa nchini, aliewahi kuwa mkuu wa mkoa wa Katanga, bwana Moise KATUMBI(Mmiliki wa TP Mazambe), nae tayari yupo Goma.
Hatua hii, inaashilia pia uwezekano wa serikali iliyopo madarakani kuvunjika.
Hakika wapo wanajeshi wakubwa wengi na wanasiasa, ambao lazima wajiunge upande wenye nguvu, na kulinda masirahi yao.
Je, leo hii, wale waliosema JWTZ ina nguvu, hivi vita inaweza kujichanganya na kukiwasha?