Albinoomweusi
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 3,485
- 8,667
Ni sahihi mkuu.Kifupi refarii kawahujumu Azam
Kwanini afanye mjadala pale, maana yake kiakili amewacheza Azam
Kwakuongea na baadhi yao na mpira kuanza mafichoni ..... refarii hakupaswa kuruhusu ule uhuni
Endapo angekuwa sio sehemu ya majadiliano may be lingeweza kuwa goli
Hata Ulaya magoli kama hayo yanafungwaLile bao hakuna kosa kwa upande wa Simba wala Mwamuzi, ni akili kubwa ya Wachezaji wa Simba kwenye hatua kama zile
Rejea Simba dhidi ya Nkana kwenye Klabu bingwa Afrika, move ya faulo ilikuwa kama ile, Wachezaji wa Nkana walipoteza concentration, Simba wakawahi kuweka (Quick thinking)...
Aliyeleta mijadala ni wachezaji wa Azam na sio refa. Ndio maana akawasikiliza lakini alipoona Simba washajiongeza akawaona walioleta mijadala wapuuzi tu.Kifupi refarii kawahujumu Azam
Kwanini afanye mjadala pale, maana yake kiakili amewacheza Azam....
Kwann? Inamaana lile halikuwa goli halali ama? Tupunguze jazba kama Sheria za soka hamzijui vzuriMarefarii wa bongo takataka
Siyo lazima refa apulize kipenga kuruhusu mpira uanze, matukio kama hayo tumeyaona sanaFaulo ilipulizwa.Maana yake mchezo umesimama.
Ili mchezo uendelee lazima refarii aruhusu tena.
Mazingira yale ya mpira hata kama ni kwiki thinking'i siyo sahihi.
Ingekuwa refarii haongei na mtu sawa.
Ila mchezaji mmojawapo wa Azam yupo na refarii,wanaongea.
Hata kama kanuni zinaruhusu jambo hili siyo sahihi.
Kipyenga kipulizwe.
Pale ni karibu na goli,ukuta uwekwe
Wenye faida na pigo wapige mpira.
Mazingira ya namna ile yanatengeneza maamuzi yasiyo sahihi kwa waamuzi,wengine wanaweza kuzuia ile 'move' ya mpira na kuamuru upigwe tena.
Wengine wakaacha lililoanza liendelee.Yaani tunaruhusu maamuzi ya 'utashi' badala ya maamuzi ya sheria.
Matukio ni mengi ila labda hujaelewa.Siyo lazima refa apulize kipenga kuruhusu mpira uanze, matukio kama hayo tumeyaona sana
Marefarii wa bongo takataka
Ni mjinga tu au mtu asiyejua kanunu za mpira anaweza kusema ni goli halali lile. Mpira uliokufa unaanzishwa na refaree.
1. Sasa refarii alikuwa anajadili nini nawachezaji?
2. Kujadiliana na wakinga ukuta tuseme refarii kachangia kuwahujum?
3. Kwanini refa aingilie nakuwapa maelezo azam.... alitaka wapange ukuta? Alitaka wasogee nyuma?
Please
Refa hakuanzisha mpira. 2. Hakuhesabu hatua kwa ajili ya azam kuweka ukuta. Goli haram
Faulo ilipulizwa.Maana yake mchezo umesimama.
Ili mchezo uendelee lazima refarii aruhusu tena.
Mazingira yale ya mpira hata kama ni kwiki thinking'i siyo sahihi.
Ingekuwa refarii haongei na mtu sawa.
Ila mchezaji mmojawapo wa Azam yupo na refarii,wanaongea.
Hata kama kanuni zinaruhusu jambo hili siyo sahihi.
Kipyenga kipulizwe.
Pale ni karibu na goli,ukuta uwekwe
Wenye faida na pigo wapige mpira.
Mazingira ya namna ile yanatengeneza maamuzi yasiyo sahihi kwa waamuzi,wengine wanaweza kuzuia ile 'move' ya mpira na kuamuru upigwe tena.
Wengine wakaacha lililoanza liendelee.Yaani tunaruhusu maamuzi ya 'utashi' badala ya maamuzi ya sheria.
Kifupi refarii kawahujumu Azam
Kwanini afanye mjadala pale, maana yake kiakili amewacheza Azam
Kwakuongea na baadhi yao na mpira kuanza mafichoni ..... refarii hakupaswa kuruhusu ule uhuni
Endapo angekuwa sio sehemu ya majadiliano may be lingeweza kuwa goli
Wakati gani??Humu watu ni mbumbumbu wa sheria za mpira lile goli ni halali kabisa kwani aliyechezewa faulo ndo ana haki ya kuanzisha mpira
Si kila faulo kipenga kinapulizwa,quick start inaruhusiwa,wajilaumu azam kutosimama mbele ya mpira ili kuomba ukutaFaulo ilipulizwa.Maana yake mchezo umesimama.