Wakati tunakaribia kabisa kuifikia siku ya uchaguzi, watanzania yapaswa kutazama viashiria vibaya kwa mustakabali wa taifa letu!
Jana nilitahadharisha watanzania kutafakari mwenendo wa baadhi ya vyama vya siasa juu ya matumizi mabaya ya taasisi za kiroho ambayo yanaweza kusababisha mpasuko katika jamii yetu! Nilitaja viashiria vifuatavyo juu ya matumizi ya sehemu za kuabudia au viongozi wa taasisi hizo!
1. Mmoja wa viongozi wa chama kimoja cha siasa aliteleza umma kuwa kuna mgombea anawarubuni viongozi wa kidini na anataka kuwatumia kuingia madarakani. Shutuma za rushwa zilipingwa lakini mtuhumiwa namba moja hakukana kujihusisha kwake na siasa na hata kuwahusisha waumini wake na uegemezi kwa mgombea huyo!
2. Alipojibiwa na huyo mtuhumiwa haya yalijitokeza
Mtuhumiwa hakukana kutumika na mgombea huyo na mmoja wa mashahidi wake ambaye naye ni kiongozi wa kiroho aliteleza bayana kujihusisha kwao na kampeni za chinichini za mgombea huyo na wanaenda mbali zaidi kumtaja na kiongozi mwingine mkubwa wa kiroho wa jamii yao kuwa naye ni miongoni mwa watu wanaoratibu hizo movements
3. Clip iliyovuja juu ya mgombea huyo akiwa ktk nyumba za ibada, alikuwa anazungumzia mambo yanayoshabiiana na ushahidi wa hapo juu!
4. Video clip ya mke wa kiongozi huyu ambayo inasambazwa sana wiki hii, inamuonesha Mama huyu akifanyiwa vitendo vya kihuni na alipokasirika alimtaja muhuni huyu kwa cheo kinachoshabiiana na uongozi wa imani inayotajwa na ushahidi wa hapo juu!
Hili haliwezi kuwa linatokea kwa bahati mbaya!
Ni dhahiri kuwa uchaguzi huu unakosa haki hasa kwa watanzania maana kuna kila dalili kuwa watu wanatugawa!
Kuna goli lingine la offside ambalo linatumika na vyama vyote hata vile vidogo! Hii ni kutumia uzawa wa mtu, na Mara nyingi wagombea wamekuwa walijipigia debe kwa watu wa asili za kwao wawachague!
Tanzania imekuwa na amani na umoja wa kitaifa si kwa bahati mbaya! Kuna misingi tuliiweka na tukaamua kuifuata ili kujihakikishia tunaendelea kuwa wamoja! Wanasiasa wanatumia vibaya fursa hii na kwa wachache wanaowaendekeza tutakuja kujuta wote kwa umoja wetu!
Ila cha kuzingatia ni kuwa hakuna kura za dhehebu au kabila zinazotosha kushinda uchaguzi ni lazima uunganishe makundi yote!
Tukatae hizi siasa chafu!