EVANCE HENRY
Member
- Aug 9, 2011
- 79
- 77
Bora la kufungwa Manula kuliko alilofungwa kipa wa Azam dhidi Mtibwa leo
La kipa wa AZAM je leo hii na Mtibwa vipi?Wewe hujui mpira. Kwa gori lile huwezi kumlaumu Manula hata kidogo. Hata Buffon asingezuia
Kipa yoyote hawezi kudaka ule mpira, faulo ilipigwa kwa ufundi sana.Hakuna kipa pale ni shati ndiyo maana kila siku tunazidi kushuka viwango vya fifa
Mbona mapema tena
Manula na John Bocco waliingia Simba kwa njia ya Rushwa , huwezi kuchukua magarasa kama yale hivihivi .Simba jana ilicheza kandanda safi sana dhidi ya Lipuli kwa muda wote wa mchezo. Nawashauri Simba kuwa waanze kumtafuta kipa badala ya Manula. Lile goli la jana siyo goli la kufungwa kipa kama Manula. Dosari kubwa la Manula ni kimo chake. Manula ni mfupi kwa kimo na kwa goli la jana kama kipa angekuwa ni kipa mrefu lile goli lisingeingia kwenye nyavu. Simba tafuteni kipa mrefu na mahiri hasa wakati huu wa dirisha dogo.
Ni goli la kijinga sana , unaweza kulia , Hata mtoto wa Manyika hawezi kufungwa .Wengine hatujaliona hilo goli liweke hapa nasi tuone kama hakustahili kufungwa
kipa angekuwa mrefu, mpigaji angemchambua kwa kimo hicho. kwani makipa warefu hawafungiki?Simba jana ilicheza kandanda safi sana dhidi ya Lipuli kwa muda wote wa mchezo. Nawashauri Simba kuwa waanze kumtafuta kipa badala ya Manula. Lile goli la jana siyo goli la kufungwa kipa kama Manula. Dosari kubwa la Manula ni kimo chake. Manula ni mfupi kwa kimo na kwa goli la jana kama kipa angekuwa ni kipa mrefu lile goli lisingeingia kwenye nyavu. Simba tafuteni kipa mrefu na mahiri hasa wakati huu wa dirisha dogo.
Manula alikaa wrong position,ikawa ngumu kujivuta far left. Ni kosa la kawaida kwa kipa,na ni ujuzi wa mpigaji. Ni goliAcha Upoyoyo na Unafiki! Kwasisi Washabiki Wa Simba Hakuna Hata Mmoja aliyejaribu angalau Kufikiria tu Kumlaumu Manula Kwa Goli lile...
Jidhihirishe Tu Kuwa wewe ndio wale wale [HASHTAG]#Ndala[/HASHTAG]...
Tena Just Shut Up acha Kumsema Vibaya Kipa wetu...
Kila anaejua Mpira anafahamu Wazi Kuwa Mpira Kama Ule Kipa hata Kama Ana Futi 7.5ft hawezi Udaka.. Sasa Kosa la Manula lipo wapi Wakati Hata Ulaya Makipa Wanafungwa Kwa Free Kick?
Pleas! Leave us alone with our Simba.
Mpira Una mambo mengi ujue, kuna magoli kipa anafungwa mpaka unashangaa,, lakini ndio sehemu ya football hiyoLakini ugolikipa mgumu na hata ule mpira. Sasa tunasemaje kuhusu kipa wa Azam naye, Razak...afadhali hat goli alilofungwa Manula! ee! Ndiyo maana Beckham alikuwa analipwa pesa nyingi.
Mpira wa miguu unataka teamwork ya hali ya juu, kikosi kipana kwa vipaji na mazoezi mazuri, na maamuzi sahihi na ya haraka ya couch otherwise soccer ni mchezo mgumu sana. Unaweza jikuta hupigi hatua bila kujua sababu.
Manula alikaa wrong position,ikawa ngumu kujivuta far left. Ni kosa la kawaida kwa kipa,na ni ujuzi wa mpigaji. Ni goli