Kwani uongo shost? Yaani ndo maana mm manyodo na dharau sizikaribishi kwenye maisha yangu! Uwe maskini au tajiri, mdogo au mkubwa ntakuheshimu na kukuthamini daima. Utakuta mtu anaishi utafikiri ana mkataba na mungu kwamba kesho yake ni uhakika wa kama jana.... Maskini Goldie! R.I.P.