Chachasteven
JF-Expert Member
- Jul 4, 2014
- 1,941
- 2,042
Majibizano ya matusi yazuka kati ya msanii wa hiphop Godzilla na mtangazaji wa Clouds Fm,Diva ambae kwa sasa ana mahusiano na msanii heri muziki.
Pitia hapa
www.twitter.com/king_zillah na www.twitter.com/divathebawse kuona tweets ambazo walikua wakijibizana.
Chanzo kikiwa ni majibu aliyoyatoa Mwana Fa kuhusu GK kwenye segment ya 255 ya xxl. Utata mkubwa ulizuka pale Godzilla alipoongelea kuhusu suala la Diva kuzaa!.Soma hapo chini!.
====================================================