Poa. Ngoja madalali tuingie kazini. Unataka la ukubwa gani mkuu? Ni inbox number yako tafadhali ungojee tu kuja kulipia...Wadau linahitajika godown la kununua, liwe maeneo ya Kurasini. Liwe limekamilika na liwe katika mazingira ya usalama. Bei sio tatizo.
Sqm 3000Poa. Ngoja madalali tuingie kazini. Unataka la ukubwa gani mkuu?