Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,208
- 27,018
Hapo ulipo hakuna kijana aliyekuwa anakusaidia saidia shughuli au kumtuma tuma umpe ?Ha ha ha jamani si ugawe tu lol hata godoro mitumba
Mwenye kuhitaji tufanye biashara hiyo bado lipo
Tatizo godoro lako lina kunguni ndy maana hatununui😀😀
Tofauti na godoro kipi kingine mzee?
Tumia lugha nzuri kijana sipo hapa ki utani utani soma vizuri nilichaandika then ndo u-comment.Nimeeleza hali ya godoro(jipya kabisa hata kwenye chaga halijawahi kukaa) na sababu za kuliuza sasa sielewi mambo ya kunguni umetoa wapi .
Jifunze kuwa mstaarabu kijana halafu mi sio chaliiii
Over and out!!!!!