Godoro gani la spring ni zuri?

Godoro gani la spring ni zuri?

mwaega

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2013
Posts
201
Reaction score
261
Nahitaji godoro la spring.
Je godoro gani zuri ndugu zangu kwa wale waliotumia?

Sihitaji wafanyabiashara kujitangaza nahitaji kupata elimu ya godoro ambapo elimu itasaidia na wengine.
images%20(1).jpg
 
😂 🤣 Hapa linhekuwa shindano la hela nishalos mpunga, kumbe unaweza ukaishi na kitu na usikijue..
Nimesahau lile godoro jina lake, herufi zinakuja na kupotea, ni zaidi ya miaka mitano lipo na ngoma fresh.
Nitakutizamia nikifika mtaani
 
Huyajui mkuu? Yanawekwa spring kama magari pia yanatembea, unalala zako kimara unaamka kwa Mungu kuja kustuka kumbe ulishakufa kitambo na ushazikwa
mkuu mbona umeniongezea utata jamani
 
Nunua Tanfoam spring (Lolita) nchi 10 hutojutia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom