Waende tu chama ni watu na siyo viongozi tu.Baada ya Mchungaji Peter Msigwa kushindwa uchaguzi wa kanda ya Nyasa alisema yeye hakufuata uongozi CHADEMA bali kuwatumikia wananchi hata akiitwa sehemu yoyote atafanyakazi ya kutumikia Watanzania ndani ya chama hicho.
Baada ya kauli hiyo ya kijasiri na kizalendo ya Msigwa, mwamba Godbless Lema aliandika kwenye mitandao yake ya kijamii kuunga mkono kauli hiyo ya Msigwa
Lema alisema hata yeye hana mpango wa kugombea tena uongozi wa kanda ya Kaskazini na kwamba atamfuata Msigwa huko aliko nje ya uongozi ili wakafanye siasa wote
Hatimaye pamoja na kauli ya Msigwa kuwa ataendelea kuwa kada mtiifu wa CHADEMA lakini amefanya maamuzi magumu ya kuhamia CCM na kwenda kufanya siasa zake za kutumikia Wananchi huko CCM, je Lema atamfuata huko huko CCM alikoahidi kuwa atafanyakazi na Msigwa nje ya uongozi?
Inaonyesha Msigwa na Lema ni Waarabu wa Pemba wanajuana kwa vilemba vyao wameshachanga karata zao na kujipanga kufanya maamuzi magumu ya kuhama CHADEMA
Pia inaonyesha waliomshawishi Msigwa kwenda CCM ndio hao hao wako pia nyuma ya Lema na kwamba wamemtanguliza Msigwa kwanza ni swala la muda tu na Lema naye ataunga mkono juhudi wakati wake ukifika
Kuthibitisha hilo hata baada ya Msigwa kuasi CHADEMA na kujiunga CCM Lema bado anamlilia na kusema anatamani kuendelea kufanyakazi Msigwa
Ni swala la muda tu baada ya Mchungaji Msigwa kwenda CCM anayefuatia ni Lema kuondoka CHADEMA hatakama hatahamia CCM lakini atakwenda chama kingine cha upinzani
Huwezi kula nauli ya watu halafu useme siendi kama Zuchu, utakwenda tu wa bwana
Nimalizie kwa kusema "comasava"
Ukweli ndiyo huo aende akaropoke ccm kwa akina Bashite.Lema akiondoka na kwenda CCM atakuwa ameisaidia sana CHADEMA kupata kiongozi wa maana.
Labda ni mke wa Lema.Kwa nini umsemee Lema au kumnukuu ndivyo sivyo? Kuvembewa huko
CCM Nao wawe makini inaweza kuwa ni mamiluki inaingia Kupata info na mbinu zote kuelekea UCHAGUZI ujao kuanzia wa serikali za mitaa Hadi UCHAGUZI mkuuBaada ya Mchungaji Peter Msigwa kushindwa uchaguzi wa kanda ya Nyasa alisema yeye hakufuata uongozi CHADEMA bali kuwatumikia wananchi hata akiitwa sehemu yoyote atafanyakazi ya kutumikia Watanzania ndani ya chama hicho.
Baada ya kauli hiyo ya kijasiri na kizalendo ya Msigwa, mwamba Godbless Lema aliandika kwenye mitandao yake ya kijamii kuunga mkono kauli hiyo ya Msigwa
Lema alisema hata yeye hana mpango wa kugombea tena uongozi wa kanda ya Kaskazini na kwamba atamfuata Msigwa huko aliko nje ya uongozi ili wakafanye siasa wote
Hatimaye pamoja na kauli ya Msigwa kuwa ataendelea kuwa kada mtiifu wa CHADEMA lakini amefanya maamuzi magumu ya kuhamia CCM na kwenda kufanya siasa zake za kutumikia Wananchi huko CCM, je Lema atamfuata huko huko CCM alikoahidi kuwa atafanyakazi na Msigwa nje ya uongozi?
Inaonyesha Msigwa na Lema ni Waarabu wa Pemba wanajuana kwa vilemba vyao wameshachanga karata zao na kujipanga kufanya maamuzi magumu ya kuhama CHADEMA
Pia inaonyesha waliomshawishi Msigwa kwenda CCM ndio hao hao wako pia nyuma ya Lema na kwamba wamemtanguliza Msigwa kwanza ni swala la muda tu na Lema naye ataunga mkono juhudi wakati wake ukifika
Kuthibitisha hilo hata baada ya Msigwa kuasi CHADEMA na kujiunga CCM Lema bado anamlilia na kusema anatamani kuendelea kufanyakazi Msigwa
Ni swala la muda tu baada ya Mchungaji Msigwa kwenda CCM anayefuatia ni Lema kuondoka CHADEMA hatakama hatahamia CCM lakini atakwenda chama kingine cha upinzani
Huwezi kula nauli ya watu halafu useme siendi kama Zuchu, utakwenda tu wa bwana
Nimalizie kwa kusema "comasava"
Pia somaKuelekea 2025 - Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa ahamia CCM
Una mdudu kichwani na ubongo embeded kwenye intestineBaada ya Mchungaji Peter Msigwa kushindwa uchaguzi wa kanda ya Nyasa alisema yeye hakufuata uongozi CHADEMA bali kuwatumikia wananchi hata akiitwa sehemu yoyote atafanyakazi ya kutumikia Watanzania ndani ya chama hicho.
Baada ya kauli hiyo ya kijasiri na kizalendo ya Msigwa, mwamba Godbless Lema aliandika kwenye mitandao yake ya kijamii kuunga mkono kauli hiyo ya Msigwa
Lema alisema hata yeye hana mpango wa kugombea tena uongozi wa kanda ya Kaskazini na kwamba atamfuata Msigwa huko aliko nje ya uongozi ili wakafanye siasa wote
Hatimaye pamoja na kauli ya Msigwa kuwa ataendelea kuwa kada mtiifu wa CHADEMA lakini amefanya maamuzi magumu ya kuhamia CCM na kwenda kufanya siasa zake za kutumikia Wananchi huko CCM, je Lema atamfuata huko huko CCM alikoahidi kuwa atafanyakazi na Msigwa nje ya uongozi?
Inaonyesha Msigwa na Lema ni Waarabu wa Pemba wanajuana kwa vilemba vyao wameshachanga karata zao na kujipanga kufanya maamuzi magumu ya kuhama CHADEMA
Pia inaonyesha waliomshawishi Msigwa kwenda CCM ndio hao hao wako pia nyuma ya Lema na kwamba wamemtanguliza Msigwa kwanza ni swala la muda tu na Lema naye ataunga mkono juhudi wakati wake ukifika
Kuthibitisha hilo hata baada ya Msigwa kuasi CHADEMA na kujiunga CCM Lema bado anamlilia na kusema anatamani kuendelea kufanyakazi Msigwa
Ni swala la muda tu baada ya Mchungaji Msigwa kwenda CCM anayefuatia ni Lema kuondoka CHADEMA hatakama hatahamia CCM lakini atakwenda chama kingine cha upinzani
Huwezi kula nauli ya watu halafu useme siendi kama Zuchu, utakwenda tu wa bwana
Nimalizie kwa kusema "comasava"
Pia soma
UNAOTA WWBaada ya Mchungaji Peter Msigwa kushindwa uchaguzi wa kanda ya Nyasa alisema yeye hakufuata uongozi CHADEMA bali kuwatumikia wananchi hata akiitwa sehemu yoyote atafanyakazi ya kutumikia Watanzania ndani ya chama hicho.
Baada ya kauli hiyo ya kijasiri na kizalendo ya Msigwa, mwamba Godbless Lema aliandika kwenye mitandao yake ya kijamii kuunga mkono kauli hiyo ya Msigwa
Lema alisema hata yeye hana mpango wa kugombea tena uongozi wa kanda ya Kaskazini na kwamba atamfuata Msigwa huko aliko nje ya uongozi ili wakafanye siasa wote
Hatimaye pamoja na kauli ya Msigwa kuwa ataendelea kuwa kada mtiifu wa CHADEMA lakini amefanya maamuzi magumu ya kuhamia CCM na kwenda kufanya siasa zake za kutumikia Wananchi huko CCM, je Lema atamfuata huko huko CCM alikoahidi kuwa atafanyakazi na Msigwa nje ya uongozi?
Inaonyesha Msigwa na Lema ni Waarabu wa Pemba wanajuana kwa vilemba vyao wameshachanga karata zao na kujipanga kufanya maamuzi magumu ya kuhama CHADEMA
Pia inaonyesha waliomshawishi Msigwa kwenda CCM ndio hao hao wako pia nyuma ya Lema na kwamba wamemtanguliza Msigwa kwanza ni swala la muda tu na Lema naye ataunga mkono juhudi wakati wake ukifika
Kuthibitisha hilo hata baada ya Msigwa kuasi CHADEMA na kujiunga CCM Lema bado anamlilia na kusema anatamani kuendelea kufanyakazi Msigwa
Ni swala la muda tu baada ya Mchungaji Msigwa kwenda CCM anayefuatia ni Lema kuondoka CHADEMA hatakama hatahamia CCM lakini atakwenda chama kingine cha upinzani
Huwezi kula nauli ya watu halafu useme siendi kama Zuchu, utakwenda tu wa bwana
Nimalizie kwa kusema "comasava"
Pia soma
Hayo maneno hakuyasema? Nikivimbiwa ujue nimeshibaKwa nini umsemee Lema au kumnukuu ndivyo sivyo? Kuvembewa huko
Ndio chama au taasisi yoyote mtaji wake ni watu wakishakielewa ni vigumu kufaWao wana kauli fulani ya kijusura kwamba hata wakiondoka woote - wanachama na viongozi wao - CDM ushindi uko palepale.
Bado najiuliza iwapo hilo linamantikika kihalisia na kifalsafa; ntakupelekeeni majibu yenu baadaye.
Njaa mbaya sana usicheze na tumboKama akinunuliwa na akakubali anaweza enda
Njaa mbaya sana acha kabisaKama akinunuliwa na akakubali anaweza enda
Wakati ukifika ndoto hii itatimiaUNAOTA WW
Mara 3 nyingi mara 2 tu kwisha habari yakeHuyo akipewa dau mara tatu ya alilopewa Msigwa anakimbia kambi