Godfrey Mgimwa atikisa Ilandutwa, Itwanga na kuwaomba wanaKalenga, wamkopeshe imani, awape maendeleo

MwanaDiwani

JF-Expert Member
Mar 22, 2013
5,536
2,264
10.+Mgimwa+akizungumza++Kijiji+cha+Udumka.jpg

4.+mgimwa+akihutubia+Elandutwa+Village.jpg

Mgombea ubunge wa jimbo la Kalenga kupitia chama cha Mapinduzi CCM Bw. Godfrey Mgimwa akiwahutubia wananchi katika kijiji cha Ilandutwa kata ya Mgama Iringa vijijini akiendelea na mikutano mbalimbali ya kampeni ambapo amewaomba wananchi wa vijiji hivyo kumkopesha imani yao na kumpa kura za ndiyo siku ya machi 16 jumapili ijayo ili aweze kuwalipa maendeleo katika jimbo hilo.
1.+Mgimwa+akisalimiana+na+vijana+kijiji+cha+Elandutwa.jpg

3.+Wananchi+kijiji+cha+Elandutwa+wakiahidi+kumchagua+Mgimwa.jpg

Wananchi wa Kijiji cha Elandutwa, Iringa Vijijini wakionyoosha mikono kuahidi kumpa kura zote Mgomwa katika uchaguzi mdogo jimbo la Kalenga, wakati wa mkutano wa kampeni za CCM
412.jpg

512.jpg

Mgombea ubunge wa jimbo la Kalenga kupitia chama cha Mapinduzi CCM Bw. Godfrey Mgimwa akishiriki kucheza ngoma na msanii Dokii katika kijiji cha Itwaga kabla ya mkutano huo kuanza wa pili kutoka kulia ni Ndugu Jesca Msambatavangu Mwenyekiti wa CCM Iringa
811.jpg

811.jpg

Wananchi wakinyanyua mikono yao juu kumuunga mkono Bw. Godfrey Mgimwa,
108.jpg

Baadhi ya makada wa CCM wakipumzika na kubadilishana maneno mawili matatu.
 
Ndani ya CCM kuna amani, upendo, Mshikamano na furaha.

Ndani ya CCM, hakuna ubaguzi wa aina yoyote kwa mwanachama yeyote.

Kinachotoka ndani ya CCM ni Itikadi, sera na Ilani ya uchaguzi inayozaa ushindi.

Kuna baadhi ya vyama vya siasa kwa sasa vimeanza kutafunya na dhambi ya ubaguzi wa ukabila ni dini.

Dhambi ya ubaguzi ni sawa na kula nyama ya binadamu. Hawatasalimika mpaka iwamalize kisiasa.

Kidumu Chama Cha Mapinduzi.
 
Huyo keshapigwa siku nyingi, kama Jf wasingekuwa wanabana zingwekwa picha za kamanda wa anga anavyommalizia kwa chopa mngekimbia hapa!
 
Ni kweli kamanda JF imebadilika sana ukiweka za CDM Kalenga wanahamisha kutoka jukwaa la siasa ila za muingereza zinaachwa.

Ukweli mwingereza hawezi shinda
 
CDM hawana picha za kuweka mpaka chopa iende Iringa sasa jiulize chopa imeenda mara ngapi? chopa moja kura moja
 
Huyo keshapigwa siku nyingi, kama Jf wasingekuwa wanabana zingwekwa picha za kamanda wa anga anavyommalizia kwa chopa mngekimbia hapa!

Tofautisha watu wengi kujaa na uwepo wa wapiga kura mikutano ya chadema wengi wao ni watazamaji tu, siyo wapiga kura kama ilivyo katika mikutano ya CCM, wananchi wanaojitokeza ni wapiga kura.
 
Huyo keshapigwa siku nyingi, kama Jf wasingekuwa wanabana zingwekwa picha za kamanda wa anga anavyommalizia kwa chopa mngekimbia hapa!

Unamaanisha zile chopa zilizotoa majibu ya chopa 3 kwa kata 3?
 
CDM hawana picha za kuweka mpaka chopa iende Iringa sasa jiulize chopa imeenda mara ngapi? chopa moja kura moja

Acha fix bana, kwa mujibu wa record zilizopo chopa moja inaleta ushindi kwenye kata moja, hivyo kwa mlinganisho huo,mgombea wa Chadema ataongoza kwenye kata moja kati ya kata zote zilizopo katika jimbo la Kalenga.
 
CCM ni balaa yani vikao vyao vyote wanao hudhuria ni wapiga kura,lakini ile mikutano ya CDM wanahudhuria watoto na vijana ambao hawana kadi ya kupigia kura.
 
Hatumtaki huyu raia wa uingereza. Like father like son. Babake alichemsha.
 
Nimesikia habari za kushangaza, imekuwaje daftari la wapiga kura kalenga limeboreshwa (tena baada ya kuondoa watu waliofariki na kuhama namba ikaongezeka), na vituo vimeongezeka. Hapa lazima kuna kitu kama ni kweli, hawa watu wanaoitwa kwa mabalozi kwenda kujipanga namna ya kupiga kura lazima itatokea issue hapo.

Last edited by a moderator:
10.+Mgimwa+akizungumza++Kijiji+cha+Udumka.jpg

4.+mgimwa+akihutubia+Elandutwa+Village.jpg

Mgombea ubunge wa jimbo la Kalenga kupitia chama cha Mapinduzi CCM Bw. Godfrey Mgimwa akiwahutubia wananchi katika kijiji cha Ilandutwa kata ya Mgama Iringa vijijini akiendelea na mikutano mbalimbali ya kampeni ambapo amewaomba wananchi wa vijiji hivyo kumkopesha imani yao na kumpa kura za ndiyo siku ya machi 16 jumapili ijayo ili aweze kuwalipa maendeleo katika jimbo hilo.
1.+Mgimwa+akisalimiana+na+vijana+kijiji+cha+Elandutwa.jpg

3.+Wananchi+kijiji+cha+Elandutwa+wakiahidi+kumchagua+Mgimwa.jpg

Wananchi wa Kijiji cha Elandutwa, Iringa Vijijini wakionyoosha mikono kuahidi kumpa kura zote Mgomwa katika uchaguzi mdogo jimbo la Kalenga, wakati wa mkutano wa kampeni za CCM
412.jpg

512.jpg

Mgombea ubunge wa jimbo la Kalenga kupitia chama cha Mapinduzi CCM Bw. Godfrey Mgimwa akishiriki kucheza ngoma na msanii Dokii katika kijiji cha Itwaga kabla ya mkutano huo kuanza wa pili kutoka kulia ni Ndugu Jesca Msambatavangu Mwenyekiti wa CCM Iringa
811.jpg

811.jpg

Wananchi wakinyanyua mikono yao juu kumuunga mkono Bw. Godfrey Mgimwa,
108.jpg

Baadhi ya makada wa CCM wakipumzika na kubadilishana maneno mawili matatu.
kUNDI LA wanangwa wakijipanga kumsimika chifu wao siku ya j2.
 
nyuso zao zinaonyesha dalili ya kukata tamaa,hakika maji yamewafika shingoni hao vibaraka!!!!
 
Ndani ya CCM kuna amani, upendo, Mshikamano na furaha.

Ndani ya CCM, hakuna ubaguzi wa aina yoyote kwa mwanachama yeyote.

Kinachotoka ndani ya CCM ni Itikadi, sera na Ilani ya uchaguzi inayozaa ushindi.

Kuna baadhi ya vyama vya siasa kwa sasa vimeanza kutafunya na dhambi ya ubaguzi wa ukabila ni dini.

Dhambi ya ubaguzi ni sawa na kula nyama ya binadamu. Hawatasalimika mpaka iwamalize kisiasa.

Kidumu Chama Cha Mapinduzi.
kawaambie mke na watoto wako maana ndo wanaoweza kukusikiliza hata ukiongea upuuzi!
 
kwani CCM, hawajatumia helcopter kalenga? au wao hawajaelewa tu kwamba imegundulika kwamba helcopter hutumia mafuta kidogo kuliko magari na hivyo kutumia helcopter kunasaidia kubana matumizi! any way lakini hawa wana hela nyingi za kuchezea shauri yao! hivi uchaguzi lini wakuu?
 
Hatumtaki huyu raia wa uingereza. Like father like son. Babake alichemsha.
Hamumtaki wewe na nani?. Jisemee mwenyewe. Nani kakupa kazi ya kuwasemea wengine.

Usiweke watu wote kwenye box la fikra zako.
 
Back
Top Bottom