Godbless Lema sasa aitwa Trump

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
141,509
Reaction score
283,958
Mbunge wa milele wa Arusha Mjini Mh Godbless Lema amebadilishiwa jina na wafuasi wake , sasa anaitwa Donald Trump .

Hayo yamejulikana jana wakati alipokuwa anawaaga wafuasi wake alipokuwa anatoka mahakamani kuelekea gereza la kisongo .

Chanzo - Nipashe .

Swali - kwanini wana Arusha wanamfananisha Lema na Trump ?
 
Wanaweza fanana kwa baadhi ya mambo...

Kama Misimamo,Kuamini wanayoyasimamia, Na kuongea ukweli unaouma kwa baadhi ya watu na watawala.....

Tofauti yao ni Trump ni Mzee na Lema ni Kijana .

Trump ni successfully business and president.....
 
Trumph gani anapenda Kisongo kama nini, sijui anamwenzie humu akikaa nje anakuwa anammiss? ?
 
Duh labda watupe ufafanuzi maana wengine hatujaelewa hapo
 
CHADEMA wamemuachia gunia la misumari alibebe yeye mwenyewe na wananchi wa Arusha wameamua wakae mbali.
 
mmmmmh hata hawafanani labda kama kufanana uanaume wa surual tu over........
 
CHADEMA wamemuachia gunia la misumari alibebe yeye mwenyewe na wananchi wa Arusha wameamua wakae mbali.
Taarifa zinadokeza kwamba Mh Lema ameingizwa kwenye kundi la WAPIGANIA UHURU MAARUFU WA AFRICA , yaani sasa yuko kundi moja na Nyerere na Kwame Nkruma.
 
Taarifa zinadokeza kwamba Mh Lema ameingizwa kwenye kundi la WAPIGANIA UHURU MAARUFU WA AFRICA , yaani sasa yuko kundi moja na Nyerere na Kwame Nkruma.
sasa uhuru upi anaupigania he need to grow up
 
Tumechoka maigizo jamani. Hivi ukiwa na akili timamu unaweza fananisha Trump na huyo jamaa wa hapo arusha aitwaye Lema??
 
Taarifa zinadokeza kwamba Mh Lema ameingizwa kwenye kundi la WAPIGANIA UHURU MAARUFU WA AFRICA , yaani sasa yuko kundi moja na Nyerere na Kwame Nkruma.
Thubutu!! Labda Uhuru wa kuwapigania wapiga deal waendelee kufyonza lasilimali za taifa hili changa. Otherwise mumshauri atulie kama boss wake EL ataheshimika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…