Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,524
- 284,008
Gambo huyu huyu anayedai watu wa Serikali wanamsaka huku wakiwa wameshika mafuta mkononi?Lema ni zumbukuku amekuta Gambo ni kina kirefu
Endelea kututegea sikiovipi atazungumzia kuhusu kipimo
Kama hutojali ulete uchambuzi hapa jukwaani kwani saa 11 alfajiri wengine bado tunatoa chanjo kwa wake zetu itatuwia ugumu kufanya majukumu mawili kwa pamojaEndelea kututegea sikio
Kina kirefu kwakoLema ni zumbukuku, amekuta Gambo ni kina kirefu
Ningeshangaa kama usingeandika ujinga wako. Chuki zitakuua hahaha gamno ana kina kirefu cha kwenda nyuma au mbele? TwambieLema ni zumbukuku, amekuta Gambo ni kina kirefu
"Shemeji yake"ambaye ni mh.Waziri amemkaribisha vyema tu nyumbani.....Hii ndio taarifa mpya ya sasa kutoka Wasafi Media kwamba Godbless Lema ambaye ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema amealikwa kwenye kipindi cha asubuhi ( GOOD MORNING ), tarehe 25/04/2023, kuanzia Alfajiri saa 11 hadi saa 2 Asubuhi.
Ikumbukwe kwamba miongoni mwa Watangazaji wa Wasafi Media ambao watamhoji Lema yumo Gerald Hando.
Kwa mara ya kwanza mimi nitafuatilia Wasafi Media tangu ianzishwe.
Wote mnakaribishwa.
Kina kirefu umekipimaje? Wewe ujue unamdhalilisha Mh.Mbunge kuwa hana marinda.Lema ni zumbukuku, amekuta Gambo ni kina kirefu
Ngoja tusikie na leo atakavyoutetea USHOGANingeshangaa kama usingeandika ujinga wako. Chuki zitakuua hahaha gamno ana kina kirefu cha kwenda nyuma au mbele? Twambie
Kwann ufikirie ushoga tu! Ivi mtu kutoa maoni yake tofauti na yako juu ya jambo fulani ni kutetea ? Nyie watuNgoja tusikie na leo atakavyoutetea USHOGA
watangazaji wachunge magari tao hapo parkingHii ndio taarifa mpya ya sasa kutoka Wasafi Media kwamba Godbless Lema ambaye ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema amealikwa kwenye kipindi cha asubuhi ( GOOD MORNING ), tarehe 25/04/2023, kuanzia Alfajiri saa 11 hadi saa 2 Asubuhi.
Ikumbukwe kwamba miongoni mwa Watangazaji wa Wasafi Media ambao watamhoji Lema yumo Gerald Hando.
Kwa mara ya kwanza mimi nitafuatilia Wasafi Media tangu ianzishwe.
Wote mnakaribishwa.
Wasafi TV kwa sasa wanazungumzia Bangi na madhara yake!! Naona wanajiandaaHii ndio taarifa mpya ya sasa kutoka Wasafi Media kwamba Godbless Lema ambaye ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema amealikwa kwenye kipindi cha asubuhi ( GOOD MORNING ), tarehe 25/04/2023, kuanzia Alfajiri saa 11 hadi saa 2 Asubuhi.
Ikumbukwe kwamba miongoni mwa Watangazaji wa Wasafi Media ambao watamhoji Lema yumo Gerald Hando.
Kwa mara ya kwanza mimi nitafuatilia Wasafi Media tangu ianzishwe.
Wote mnakaribishwa.
Hii ndio taarifa mpya ya sasa kutoka Wasafi Media kwamba Godbless Lema ambaye ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema amealikwa kwenye kipindi cha asubuhi ( GOOD MORNING ), tarehe 25/04/2023, kuanzia Alfajiri saa 11 hadi saa 2 Asubuhi.
Ikumbukwe kwamba miongoni mwa Watangazaji wa Wasafi Media ambao watamhoji Lema yumo Gerald Hando.
Kwa mara ya kwanza mimi nitafuatilia Wasafi Media tangu ianzishwe.
Wote mnakaribishwa.
Sijaelewa chochote"Shemeji yake"ambaye ni mh.Waziri amemkaribisha vyema tu nyumbani.....
Wasafi wamemkaribisha....
Wewe nawe unaanza kufuatilia wasafi baada ya yeye kukaribishwa nao......
Jiandae kufuatilia vipindi vya redio nyingi ambazo umekuwa "ukizipuuza" kwani Lema atazizungukia za nchi nzima kufuatia mwaliko [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tukisema MAMA KAJA[emoji1732][emoji1732]
Nawe unasema LEMAAA KAJAAAAA [emoji7]
#SiempreJMT
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app