B Bujigile JF-Expert Member Joined May 18, 2011 Posts 251 Reaction score 61 Jan 27, 2015 #61 MUSSA ALLAN said: Mkataba wake unaisha oktoba 2015. Click to expand... Amina, Mungu atujaalie tuwepo
N ng'adi lawi JF-Expert Member Joined Sep 27, 2014 Posts 2,956 Reaction score 1,116 Jan 27, 2015 #62 CHADEMA MOIVARO said: Lema ataendelea kuwa mbunge ARUSHA ccm walie tu. Click to expand... Umesema kweli kabisa.
CHADEMA MOIVARO said: Lema ataendelea kuwa mbunge ARUSHA ccm walie tu. Click to expand... Umesema kweli kabisa.
W wakimataifa JF-Expert Member Joined Nov 16, 2014 Posts 942 Reaction score 169 Jan 27, 2015 #63 sawa wanachadema nyinyi ndio mnaitwa "PANYA ROAD"
Mmawia JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 123,250 Reaction score 98,243 Jan 27, 2015 #64 thatha said: Alikuwa ametulia kama maji ya mtungi, bado hatujasahau kilichomkuta Gerezani tutamvua nguo tena asituchezee Machalii wa ARUSHA. Click to expand... Alimwambia muhongo kuwa hasipo achia ngazi angemtoa kwa nguvu, mbona katii bila shuruti? Wacheni mambo ya kipashukuna
thatha said: Alikuwa ametulia kama maji ya mtungi, bado hatujasahau kilichomkuta Gerezani tutamvua nguo tena asituchezee Machalii wa ARUSHA. Click to expand... Alimwambia muhongo kuwa hasipo achia ngazi angemtoa kwa nguvu, mbona katii bila shuruti? Wacheni mambo ya kipashukuna
Mmawia JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 123,250 Reaction score 98,243 Jan 27, 2015 #65 laki si pesa said: Ndio vilaza wa Chadema mnavyojidanganya hivyo. Nyie ndio mnasubiri Chadema ichukue nchi mlipwe mishahara bila kufanya kazi teh teh teh teh Click to expand... Majizi ya escrow
laki si pesa said: Ndio vilaza wa Chadema mnavyojidanganya hivyo. Nyie ndio mnasubiri Chadema ichukue nchi mlipwe mishahara bila kufanya kazi teh teh teh teh Click to expand... Majizi ya escrow
MWALLA JF-Expert Member Joined Dec 12, 2006 Posts 16,952 Reaction score 10,512 Jan 27, 2015 #66 laki si pesa said: mi nipo hapa sakina njoo hapa seven up utanikuta Click to expand... mtumwa fisi
LOOOK JF-Expert Member Joined May 17, 2011 Posts 3,466 Reaction score 820 Jan 27, 2015 #67 Mingoi said: Martin Luther King hakuwa mpumbavu Click to expand... ndio mana kwa vile hakuwa mpumbavu ndio mana kafanishwa na G.LEMA na sio KINANA AU NAPE.
Mingoi said: Martin Luther King hakuwa mpumbavu Click to expand... ndio mana kwa vile hakuwa mpumbavu ndio mana kafanishwa na G.LEMA na sio KINANA AU NAPE.
Coza Mhando Senior Member Joined Dec 14, 2010 Posts 194 Reaction score 7 Jan 27, 2015 #68 Standalone said: wewe ndio kilaza wa kwanza....Umekosa adabu...Watu tuna heshima zetu tutaenda kupata elimu ya ukombozi. Click to expand... haaa haaa haaa, unaenda kumsikiliza kiranja wa panyaroad!!!!!!!!, Ila tunashukuru Arusha wizi wa magari umepungua kidogo, cdm banha eti kibaka yupo kamati kuu, kaaazi kwelikweli
Standalone said: wewe ndio kilaza wa kwanza....Umekosa adabu...Watu tuna heshima zetu tutaenda kupata elimu ya ukombozi. Click to expand... haaa haaa haaa, unaenda kumsikiliza kiranja wa panyaroad!!!!!!!!, Ila tunashukuru Arusha wizi wa magari umepungua kidogo, cdm banha eti kibaka yupo kamati kuu, kaaazi kwelikweli