Godbless Lema katika kashfa ya kuiua CHADEMA Arusha

Habari yenyewe ya mwezi wa tano mwaka jana, unatuletea leo kama siyo bange ni nini? siyo lazima upost thread, unaweza kubaki kusoma za wenzako wenye akili au kuchangia maoni tu.

punguza bange kwani hujui kusoma tarehe na mwezi? rudi tena kwenye barua
 
Mkuu, document hiyo imetoka kwenu Arusha na kusainiwa majina hayo umeyaona na imetumwa hadi makao makuu ya chadema. Mimi sijaongeza neno kwa nini unanishambulia mimi binafsi? badala ya kujibu yatokanayo na hiyo Document?
Lema atamtoa damu gambo, najua wewe ni mama gambo mnatumia mbinu zote eti mkiamini mnamfitinisha Lema. Tambueni chadema ishavuka level hizo
 
Mama Porojo, ulizaa mtoto ukamwita Porojo au Porojo ni mumeo?
 
Mkuu, document hiyo imetoka kwenu Arusha na kusainiwa majina hayo umeyaona na imetumwa hadi makao makuu ya chadema. Mimi sijaongeza neno kwa nini unanishambulia mimi binafsi? badala ya kujibu yatokanayo na hiyo Document?
Mama POROJO Huna baya, asante kwa kutufunulia ukweli wa mambo yaliyojificha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…