Lema ni "~kataa","~goma","~shindikana" God Bless si mnaijua? Kwa hiyo ni Mungu mbariki goma. ni verb ambayo inaweza kuwa na prefix kibao.
Cha~dema...kimelima(sijui utaita chimba), pia goma, pia kushindikana.
Sijui Sugu na wengine.Kwa hiyo Magamba kazeni nyomi na kutumia akili zaidi ya ujinga.Hao ni badger hawana time na vitisho vyenu.Bagder huwa haogopi surprise za nyoka.Nyoka ang`ate tuu ila ajue kila aking`ata ndivyo anavyomwambia bagder amle.
tatizo lenu magamba huwa mnakosoa kwa uongo yaani mnalazimisha kuwa ukweli kwa mfano kusema cdm magaidi kwenye moyo wako na mungu wako sema ukweli ni kweli cdm ni magaidi? Unatoa mimacho nini jibu swali