God Save Magufuli

Hahahaaaaa eti nothing to cherish
 
Maisha tuishiyo sote tunaona.Wastaafu tunaishi nao,ni miongoni mwetu.Tunajua kila anayelipwa,anayesubiri na anayedhulumiwa kwa visingizio mbali mbali. Hata wakulima wa korosho mlijichanganya kwa kauli kede kede: mara uhakiki,tumeshawalipa,n.k. Uchaguzi huu hapa mara "paaap." wanalipwa wote. Mwenye akili zake anaelewa!
NB.Jalada hatufungui ila Okt.28 itaamua! Na kuhusu showoff za kijinga ndo mnaongoza.Mara "mtafune" mahindi hadharani,mara muozeshe mamazenu kwa mahari ya jogoo! Nani mpumbavu hapo????
 
ili nini kwa mfano!? Ushahidi upo?
TL amerudi mzima wa afya atafute waliomuua akitumia taaluma yake
Tuache kumhusisha rais na mambo ya kusikiasikia bila kuthibitisha
Atafute waliomuua kwani jeshi la polisi linalolipwa kwa kodi mpaka za huyo Lissu kazi yske nini ?

Mbona mnajifyatua sana akili ninyi
 
Who creates enemies ,we creat enemies because of our characters mainly caused by someone's self image
 
Lipeni mafao ya wastaafu.

Lipeni fao la kujitoa.

Lipeni fidia za bomoa bomoa mliyofanya kinyama.
Mambo yanaendeshwa kwa kufuata sheria, kanuni, taratibu na stahili kwawahusika. Kama umevunja sheria basi uachwe na udekezwe eti kwa kisingizio kwamba uctatuona wakti wa uchaguzi! Wacheni hizo, kwa utaratibu huo HATUFIKI. Call a spade a spade!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…