Killing and abducting citizens are matters to be easily handled!U don't have to panic my friend. Just say a word, we have ears to listen. Write a word, we will read
Don't be furious for matters that can be easily handled
Umesema vizuri sana Mama DHii ni platform huru Sangatitti kila mtu ana uhuru wa kusema anachokiamini bila kutumia lugha chafu.
Kwa akili kidogo tuu ukiweza kuitambua mamlaka ya rais utaelewa kwamba hawezi tumia nguvu ya risasi kumuumiza mtanzania mmoja.
Hata kama kuna makosa yapo maamuzi sahihi mengi angeweza kufanya sio risasi.
Pia hakuna binadamu anayeweza kufurahia kitendo cha mwingine kupigwa risasi na hili liko ndani ya vyombo husika likifanyiwa kazi
....ifike mahala tusubiri matokeo ya uchunguzi
Ni vizuri ukijaribu kuchuja unachoongea au kuandika bila kujali kuwa upo nyuma ya keyboard na id mpya itakusaidia sana kifikra, huwezi kulazimisha tufanane kwa kutumia matusi
I thought we are discussing issues and not personal feelings.What followed after the assassination attempt.
Every sane person knows.
Magu wanted him dead, and all his deeds has been obvious since day one.
Magu wanted him dead
SH.ili nini kwa mfano!? Ushahidi upo?
TL amerudi mzima wa afya atafute waliomuua akitumia taaluma yake
Tuache kumhusisha rais na mambo ya kusikiasikia bila kuthibitisha
Jukumu la kutafuta wahalifu limekuwa la mtu binafsi aliyetendewa???? Nini kazi na maana ya kuwa na jeshi la polisi na vyombo vingine kwa gharama ya walipa kodi wote? VERY POOR THINKING!ili nini kwa mfano!? Ushahidi upo?
TL amerudi mzima wa afya atafute waliomuua akitumia taaluma yake
Tuache kumhusisha rais na mambo ya kusikiasikia bila kuthibitisha
LABDA ALIYE "HIGH" NA SIYO "HAI"Mungu wa mbinguni alie hai
Mnawalipa baada ya kuwanyanyasa na uchaguzi kukaribia ili mpate kiki kama wanyonge wa "korosho?" rushwa hiyo!Kwa taarifa yako sie hatupendi showoff tayari serikali ikishirikiana na taasisi zake imekwisha walipa wastaafu wa taasisi mbalimbali na inaendelea kuwalipa..
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Yeye anayajua mengi yaliyokua yakiendelea kabla na baada ya shambulio, na ameshaongea mengi baada ya kupona sasa ni wakati sahihi kwake kumshirikisha na vyombo husika kudai haki yake.Jukumu la kutafuta wahalifu limekuwa la mtu binafsi aliyetendewa???? Nini kazi na maana ya kuwa na jeshi la polisi na vyombo vingine kwa gharama ya walipa kodi wote? VERY POOR THINKING!
Nothing permanent. Situation subject to changes. See the data below in a table from WBTo prove that, just recently Tanzania has been declared a lower-middle income economy country, joining few others in Africa and become the second country to enter that level in East Africa after Kenya.
| Economy | New group | Old group | GNI/Capita/$ (2019) as of July 1, 2020 | GNI/Capita/$ (2018) as of July 1, 2019 |
|---|---|---|---|---|
| Algeria | Lower-middle income | Upper-middle income | 3,970 | 4,060 |
| Sri Lanka | Lower-middle income | Upper-middle income | 4,020 | 4,060 |
| Sudan | Low income | Lower-middle income | 590 | 1,560 |
Kafungue jalada kama unaona ni rushwa, kwa taarifa tu, kuwalipa wastaafu hatujaanza jana wa juzi sema hatupendi showoff za kipumbavu kama yule mwenda wazimu wenu anae taja kila muda kuwa amepigwa risasi..MNAWALIPA BAADA YA KUWANYANYASA NA UCHAGUZI KUKARIBIA ILI MPATE KIKI KAMA WANYONGE WA "KOROSHO?" RUSHWA HIYO!
Mungu yupo anaona yote maovu na mema na Mungu huwa anaombwa lakini kamwe hapangiwiLABDA ALIYE "HIGH" NA SIYO "HAI"
NA MUNGU HUYO HUYO HUSIKILIZA VILIO VYA WAJA WAKE NA KUWAOKOA! nI MUDA WA WAJA WAKE KUSIKILIZWA!Kila mtu na aitii mamlaka iliyo kuu; kwa maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu; na ile iliyopo umeamriwa na Mungu. Warumi 13:1
Na
Allah Anasema katika Kitabu chake kitukufu:
“Enyi mlioamini Mtiini Allah, na mtiini
Rasuli (Wake Muhammad) na Wale
waliopewa mamlaka kutoka miongoni
mwenu......”
(Qur’ani, 4:59)
Mbona nawe unataka kumpangia?Mungu yupo anaona yote maovu na mema na Mungu huwa anaombwa lakini kamwe hapangiwi
Wanaomuombea John Pombe Magufuli kwa Mungu wanaweza kusikilizwa kwa kadri ya maombi yao zaidi ya wale wanaompangia Mungu
NA MUNGU HUYO HUYO HUSIKILIZA VILIO VYA WAJA WAKE NA KUWAOKOA! nI MUDA WA WAJA WAKE KUSIKILIZWA!
Mbona nawe unataka kumpangia?
Sasa ilikuwaje tukaingia uchumi wa kati? Au tumependelewa?Really crap form a really low mind.
Huyu mpuuzi hajui chochote!
Utalii mwaka 2015 ulikuwa unakua kwa 15%, mwaka 2019 ulikua kwa 3.6%
Uwekezaji mwaka 2015 ulikuwa unakua kwa 28%, mwaka 2019 ulikua kwa 4%
Mauzo ya nje ya mazao ya kilimo mwaka 2019 yameanguka kwa 50%
Ukuaji wa pato la mtu mmoja mmoja toka 2010 mpaka 2015 liliongezeka kwa karibia dola 400 lakini miaka 5 ya Magufuli limeongezeka kwa dola 100 tu.
Halafu anatokea mjinga mmoja anasema kipindi cha Magufuli uchumi umekua kwa kasi ya ajabu! Crap. Ujinga kuna wakati nadhani, nacho ni kipaji. Huyu mleta mada ataendelea kuwa mjinga wa kudumu.
Msifu Magufuli kwa mambo mengine lakini siyo kwenye kukuza uchumi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tumependelewa sana awamu hii, tumeingia uchumi wa Kati na tunaendelea kuchapa kazi japo COVID ipo hatujalockdownSasa ilikuwaje tukaingia uchumi wa kati? Au tumependelewa?
Nimesoma kwa makini.Angalia sentensi yako uliyomalizia uone nilimaanisha nini.Soma kwa vituo utaelewa