God Save Magufuli

Almighty God, please, save Magufuli in Christ Jesus, amen!
 
Mungu ambariki rais John Pombe Magufuli
Na akubariki na wewe mjumbe
 
Propaganda tu hizo. Rushwa imepigwa chini ndio sababu watu kama nyie mnalialia njaa kwa sababu mlizoea vya kunyonga.
Watu walizoea haramu na kuilazimisha kuitwa halali.

Siku hizi hakuna kula bata wala kuku haramu kwa mrija..... Mirija haramu yote ilikatwa, maumivu so madogo ila tuvumilie tuu hamna nanmna

Kama tulivyomuelewa kuhusu COVID na kukubali kuendelea kuchapa kazi hata mengine tutamuelewa tuu kidogokidogo
Cc Wacha Amani Msumari
 
Kila mtu na aitii mamlaka iliyo kuu; kwa maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu; na ile iliyopo umeamriwa na Mungu. Warumi 13:1


Na


Allah Anasema katika Kitabu chake kitukufu:
“Enyi mlioamini Mtiini Allah, na mtiini
Rasuli (Wake Muhammad) na Wale
waliopewa mamlaka kutoka miongoni
mwenu......”
(Qur’ani, 4:59)
 
Let the truth be said, he is full of blood. He has assassinated lots of our fellow Tanzanians.
 
Asante Sana komredi mama D. Ni jukumu letu kuwaelimusha na watanzania wengine waelewe ni nini serikali inalenga
 
Let the truth be said, he is full of blood. H e has assassinated lots of our fellow Tanzanians.
People like you are the reason as to why I wrote this thread. A lot of empy accusations towards the president. Do u have evidence?
You spread this kind of very serious allegation to the entire world and some other people get to believe it.

That's stupidity of the highest order. Accusation is the only card I guys r playing. Pls note: we will not bow, we will not stop delivering to the expectations of esteemed Tanzanians
 
We heard you..now go to bed, and don't forget to retake your English classes..

TL is now the real deal. You can bark and scream as loud as you can, but nothing will stop him this time around, just as your 16 bullets could not.
Waoh! what a news, "we heard u" that's exactly what it was meant for this thread.

About English language lessons, advice taken for action, will visit one of RAS Simba's centre today. However, in the spirit of helping each other, I am humbly asking to be ur student
 
In the book of God; The Bible, a lot of killings are mentioned. Does it disqualify it?
Being mentioned doesn't legalise it, all sinners ( murderers got their fair share of their ill deeds)
 
Being mentioned doesn't legalise it, all sinners ( murderers got their fair share of their ill deeds
Good point! Likewise to what happened to Lissu. Being gunned down doesn't mean the government isn't working! God could've prevented the killings because He's ALL POWERFUL! isn't it? Why happen then? Is He weak?
 
Mkuu umezungumzia fao la kujitoa, nina maswali kwako :

1. Hiyo michango ikikaa huko NSSF mpaka mchangiaji afikishe miaka 55 kama sheria ya sasa inavyosema, huyo mchangiaji atakuwa na sifa za kulipwa pension au atapewa michango yake tu? Kama hatalipwa pensheni mantiki ya utaratibu huu iko wapi?

2. Lengo kuu la hii mifuko ni hifadhi ya jamii, kumlipa mtu aliepoteza ajira asilimia 33 tu ya uliokuwa mshahara wake kwa miezi sita tu kwa kisingizio kwamba atakuwa amepata ajira mpya ina uhalisia kiasi gani? Soko la ajira likoje kwa sasa? Umejiuliza kwa nini waliotunga hiyo sheria wao haiwahusu? kwa nini 33 % ya mshahara na sio 100% ?

3. Utaratibu huu unaendana na mapendekezo ya Shirika la kazi duniani (ILO) kuhusu fao la kutokuwa na ajira / unemployment benefits?

Kama wewe unanufaika na kinachoendelea ni vizuri ukae kimya kuliko kuwakejeli waathirika wa utaratibu huu wa hovyo uliowekwa na watawala wasiojali utu
 
Dhuluma dhidi ya watumishi haitamwacha salama. Miaka mitano bila nyongeza ya mshahara while working so hard to fulfill his ambitions. So sad.
 
Good point! Likewise to what happened to Lissu. Being gunned down doesn't mean the government isn't working! God could've prevented the killings because He's ALL POWERFUL! isn't it? Why happen then? Is He weak?
What followed after the assassination attempt.

Every sane person knows.

Magu wanted him dead, and all his deeds has been obvious since day one.
 
Really crap form a really low mind.

Huyu mpuuzi hajui chochote!

Utalii mwaka 2015 ulikuwa unakua kwa 15%, mwaka 2019 ulikua kwa 3.6%

Uwekezaji mwaka 2015 ulikuwa unakua kwa 28%, mwaka 2019 ulikua kwa 4%

Mauzo ya nje ya mazao ya kilimo mwaka 2019 yameanguka kwa 50%

Ukuaji wa pato la mtu mmoja mmoja toka 2010 mpaka 2015 liliongezeka kwa karibia dola 400 lakini miaka 5 ya Magufuli limeongezeka kwa dola 100 tu.

Halafu anatokea mjinga mmoja anasema kipindi cha Magufuli uchumi umekua kwa kasi ya ajabu! Crap. Ujinga kuna wakati nadhani, nacho ni kipaji. Huyu mleta mada ataendelea kuwa mjinga wa kudumu.

Msifu Magufuli kwa mambo mengine lakini siyo kwenye kukuza uchumi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…