God Save Magufuli

Imani yangu kwa Mungu wangu ni thabiti
Mambo ya imani ni mambo mazito. Tuachie wenye kuamini katika Mungu
 
Imani yangu kwa Mungu wangu ni thabiti
Ni imani dhabiti inakusaidia wewe na umeona dhabiti wewe binafsi...

Hivyo usiitusukumie tusiohusika....
Mambo ya imani ni mambo mazito. Tuachie wenye kuamini katika Mungu
Tatizo umeileta hapa wazi kwenye public theater,lazima watu tuifanyie scrutiny!

Nyie wenye imani zenu na Mungu ni nyie,sio wote...Ni bora ukaita wenye dini wote mdiscuss siasa zinazowahusu nyie wenye dini..Ukimalizana nao basi njoo na sisi tusio na dini utupe mustakabali wetu bila kuhusisha dini zenu ndani ya mjadala....
 
Msitafute huruma ya Mungu wakati huu wa mavuno
 
Thanks buddy, good stuff!
 
God as God is not Hypocrisy like ccm regime even current president Jpm.

Propaganda tu hizo. Rushwa imepigwa chini ndio sababu watu kama nyie mnalialia njaa kwa sababu mlizoea vya kunyonga.
 
mwaka huu mtaandika mpaka kinyaturu ila jibu ni moja tu #LISU4PRESIDENT2020.

hatuwezi kuchagua Rais tunaye muogopa!
 
The world Bank, well, the guys at world bank whom President magufuri classified as enemies of Tanzania "Mabeberu" are the very ones who has classified Tanzania as a middle income Country.

Now Magufuri wants to run his presidential campaign under the banner of middle income country.
 
Almighty God, send this man and his idol Magufuli to hell!
Your people are tired of their tyrany and brutality!
Ooh God hear my prayer!
 
Na mitutu yotee ile bado wataka, aseviwe😂😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…