Ntolonyonyo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,231
- 2,361
Kuna watu wanashindwa kuufaham ukweli huu mdogoIssue nyingi Sana zimeshindwa kuthibitishwa kuhusu uumbaji wake kisayansi, kwa maana hiy, uumbaji wa dunia na ulimwenguni Kwa ujumla haujaweza kuelezewa Kwa mapana yake na sayansi Tu, kuna nguvu isiyoonekana imefanya yote haya tena Kwa usahihi mkubwa Sana pasipo kukosea chochote. Kila kitu kimepangwa kikapangika Kwa mahesabu makali, hiyo nguvu naiita Mungu mwenyezi mwenye enzi na mamlaka yote katika vyote vinavyoonekana na visivyoonekana Kwa macho ya nyama.a Aimidiwe milele, Amina.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna vitu vimewekwa kwa lengo maalum kiasi kwamba haviwezi tokea tu by chanceDunia ina watu 7.6 billion...lkn cha ajabu kila mtu yuko unique...yaani kivyake, sura, tabia etc....Mungu yupo aiseee...
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata huyo Kiranga anaamini Mungu Yupo tatizo hajui Ni Mungu yupiNina imani hata Kiranga anapinga uwepo kamili wa huyu Mungu wa kuambiwa, ila akilini mwake anakataa katakata kwamba ulimwengu na vyote viujazao vilijileta vyenyewe tu
You are simply imagining that "God is imaginary"God is imaginary !
Mkuu usipoteze muda kufikiria mambo yaIssue nyingi Sana zimeshindwa kuthibitishwa kuhusu uumbaji wake kisayansi, kwa maana hiy, uumbaji wa dunia na ulimwenguni Kwa ujumla haujaweza kuelezewa Kwa mapana yake na sayansi Tu, kuna nguvu isiyoonekana imefanya yote haya tena Kwa usahihi mkubwa Sana pasipo kukosea chochote. Kila kitu kimepangwa kikapangika Kwa mahesabu makali, hiyo nguvu naiita Mungu mwenyezi mwenye enzi na mamlaka yote katika vyote vinavyoonekana na visivyoonekana Kwa macho ya nyama.a Aimidiwe milele, Amina.
Sent using Jamii Forums mobile app