Masiihi Dajal
Member
- May 30, 2017
- 13
- 9
Inawezekana vitendo hivi vya kinyama vikawafungua watanzania macho. Utawala wa pharoah unakumbukwa lakini sio kwa mazuri. Madikteta hawatafautiani. Tumeshuhudia ni watu ambao wanaamini wanaweza kuwadanganya binadamu wenzao. Nakumbuka wale ambao wanatumia neno tumuogope Mungu, Mungu hadhihakiwi. Iwapo umevunja amri 10 za Mungu lazima utaumbuka. Njia pekee ya kuomba msamaha nikusema ukweli na kumfuata Yule uliyemdhulumu kuomba radhi na kutubia. Viongozi wa dini wahubiri hili. Yule anayejinadi anamuogopa Mungu, ukiona tu watu hawakuombei Mungu, jua kwamba Mungu amekuumbua. Haijawahi kutokea katika historia ya Tanzania kiongozi akazuia watu wasimuombe Mungu ila tu pale anapokuwa anatambua Mungu hayuko nae. Mwisho, utawala ni dhamana, Hakimu wa mahakimu ni Mungu. Lakini kwa nini nakubaliana na wapinzani katika suala Zima la kuikosoa serikali: Watu wakinyamazia uovu maangamivu hayachagui. Naomba nifananishe nchi ya Tanzania na jahazi iliyoko kwenye kina kirefu na dharuba. Hivi tukiwa katika safari hiyo akitokea mtu akawa anatoboa Meli hiyo na kwa kuwa anatutishia na yuko tayari kutuua tumnyamazie? Viongozi wa Dini na viongozi wastaafu, tunaanza kuona madhara yake kwa Kukaa kimya. Jahazi ikitobolewa haijalishi ukubwa wa tundu, iwapo anaetoboa jahazi hakatazwi, wala kukaripiwa na wale waliomkabidhi madaraka meli itazama. Mhs Tundu Lissu ameona mbali na amejitolea nafsi yake. Ukweli utabakia palepale uchunguzi kutoka mashirika kama Scotland Yard, FBI yataibua pia tuhuma nzito ya Scotched Earth Policy...
Usaliti haulipi? Mlikuwa mmekubaliana naye afiche "uozo" wenu, ndio akawasaliti kwa kuutaja?Kwangu mimi Tundu Lisu amestahili yakiyomkuta, na hayo machungu na mateso natumaini atajifunza, usaliti haulipi!
Kwangu mimi Tundu Lisu amestahili yakiyomkuta, na hayo machungu na mateso natumaini atajifunza, usaliti haulipi!
Unawajua wasaliti wewe?? Hivi waliotuongiza kwenye shimo la umasikini na mikataba mibovu yameisha Mimi ni wa risasi?Wako wengine akina Mkapa,JK na hata JPM mwenyewe kwa kule kivuko kibovu.Mlishawamiminia risasi hawa??
Msitufanye Watanzania wapumbavu,huu upumbavu wenu na wenye viti wenu waliotuibia na kutufilisi usishie Lumumba.
Kwa hiyo unakili kuwa serikali inahusika katika jaribio.Kwangu mimi Tundu Lisu amestahili yakiyomkuta, na hayo machungu na mateso natumaini atajifunza, usaliti haulipi!
Kwa hiyo unakili kuwa serikali inahusika katika jaribio.
Kwangu mimi Tundu Lisu amestahili yakiyomkuta, na hayo machungu na mateso natumaini atajifunza, usaliti haulipi![ ipo siku yatakurudia kumtuhumu muongofu ukamuacha mwenye makosa! Urais haukumfaa magu
Sio kila kitu Magufuli.. Kukulacho kimo nguon mwakoInawezekana vitendo hivi vya kinyama vikawafungua watanzania macho. Utawala wa pharoah unakumbukwa lakini sio kwa mazuri. Madikteta hawatafautiani. Tumeshuhudia ni watu ambao wanaamini wanaweza kuwadanganya binadamu wenzao. Nakumbuka wale ambao wanatumia neno tumuogope Mungu, Mungu hadhihakiwi. Iwapo umevunja amri 10 za Mungu lazima utaumbuka. Njia pekee ya kuomba msamaha nikusema ukweli na kumfuata Yule uliyemdhulumu kuomba radhi na kutubia. Viongozi wa dini wahubiri hili. Yule anayejinadi anamuogopa Mungu, ukiona tu watu hawakuombei Mungu, jua kwamba Mungu amekuumbua. Haijawahi kutokea katika historia ya Tanzania kiongozi akazuia watu wasimuombe Mungu ila tu pale anapokuwa anatambua Mungu hayuko nae. Mwisho, utawala ni dhamana, Hakimu wa mahakimu ni Mungu. Lakini kwa nini nakubaliana na wapinzani katika suala Zima la kuikosoa serikali: Watu wakinyamazia uovu maangamivu hayachagui. Naomba nifananishe nchi ya Tanzania na jahazi iliyoko kwenye kina kirefu na dharuba. Hivi tukiwa katika safari hiyo akitokea mtu akawa anatoboa Meli hiyo na kwa kuwa anatutishia na yuko tayari kutuua tumnyamazie? Viongozi wa Dini na viongozi wastaafu, tunaanza kuona madhara yake kwa Kukaa kimya. Jahazi ikitobolewa haijalishi ukubwa wa tundu, iwapo anaetoboa jahazi hakatazwi, wala kukaripiwa na wale waliomkabidhi madaraka meli itazama. Mhs Tundu Lissu ameona mbali na amejitolea nafsi yake. Ukweli utabakia palepale uchunguzi kutoka mashirika kama Scotland Yard, FBI yataibua pia tuhuma nzito ya Scotched Earth Policy...
Kwangu mimi Tundu Lisu amestahili yakiyomkuta, na hayo machungu na mateso natumaini atajifunza, usaliti haulipi!
Kwa maneno haya,ni dhahiri pasi na shaka ya kuwa mmehusika kwa 100% na kilichomtokea Tundu Lissu,lakini uzuri ni kwamba mhanga amesalimika,hivyo mjiandae tena kumlipua na mabomu kabisa manake smg zimegonga mwamba,nimeamini mungu akiamua,hata iweje kama siku yako ya kufa haijafika,hutakufa,akija uraiani kila kitu kitadhihirika na mtabaki mnajihorojea tu
Mimi sijahusika lkn aliyehusika kwangu ni Mzalendo mkubwa sana, isitoshe ana risasi kila mahali hivyo muda wa nyie kumtumia umekwisha!
Albadir ndo mwarobaini wenu nyie wadhalimu mnaoiharibu nchi yetu nzuri hii,hapo ndio tutaona nani mzalendo wa kweli,kwani albadir ndio itachagua mzalendo wa kweli baada ya kusomwa,nashangaa mnaweweseka,pilipili usioila yakuwashia nini??
Tatizo la mtu mweusi naliona kwenye fikra zinazowakilishwa na maandishi yako mkuu Tetty.Unawajua wasaliti wewe?? Hivi waliotuongiza kwenye shimo la umasikini na mikataba mibovu yameisha Mimi ni wa risasi?Wako wengine akina Mkapa,JK na hata JPM mwenyewe kwa kule kivuko kibovu.Mlishawamiminia risasi hawa??
Msitufanye Watanzania wapumbavu,huu upumbavu wenu na wenye viti wenu waliotuibia na kutufilisi usishie Lumumba.
Tundu kajitolea maisha yake?mbona mbowe alisema yupo poa?Inawezekana vitendo hivi vya kinyama vikawafungua watanzania macho. Utawala wa pharoah unakumbukwa lakini sio kwa mazuri. Madikteta hawatafautiani. Tumeshuhudia ni watu ambao wanaamini wanaweza kuwadanganya binadamu wenzao. Nakumbuka wale ambao wanatumia neno tumuogope Mungu, Mungu hadhihakiwi. Iwapo umevunja amri 10 za Mungu lazima utaumbuka. Njia pekee ya kuomba msamaha nikusema ukweli na kumfuata Yule uliyemdhulumu kuomba radhi na kutubia. Viongozi wa dini wahubiri hili. Yule anayejinadi anamuogopa Mungu, ukiona tu watu hawakuombei Mungu, jua kwamba Mungu amekuumbua. Haijawahi kutokea katika historia ya Tanzania kiongozi akazuia watu wasimuombe Mungu ila tu pale anapokuwa anatambua Mungu hayuko nae. Mwisho, utawala ni dhamana, Hakimu wa mahakimu ni Mungu. Lakini kwa nini nakubaliana na wapinzani katika suala Zima la kuikosoa serikali: Watu wakinyamazia uovu maangamivu hayachagui. Naomba nifananishe nchi ya Tanzania na jahazi iliyoko kwenye kina kirefu na dharuba. Hivi tukiwa katika safari hiyo akitokea mtu akawa anatoboa Meli hiyo na kwa kuwa anatutishia na yuko tayari kutuua tumnyamazie? Viongozi wa Dini na viongozi wastaafu, tunaanza kuona madhara yake kwa Kukaa kimya. Jahazi ikitobolewa haijalishi ukubwa wa tundu, iwapo anaetoboa jahazi hakatazwi, wala kukaripiwa na wale waliomkabidhi madaraka meli itazama. Mhs Tundu Lissu ameona mbali na amejitolea nafsi yake. Ukweli utabakia palepale uchunguzi kutoka mashirika kama Scotland Yard, FBI yataibua pia tuhuma nzito ya Scotched Earth Policy...
Usaliti upi mkuu?Kwangu mimi Tundu Lisu amestahili yakiyomkuta, na hayo machungu na mateso natumaini atajifunza, usaliti haulipi!
Uchawi sio lazima ushike dawa,hata Amini alikuwa na akina maliamungu nyuma yake,na ukitaka kumuua mbwa mpe jina baya,mmeferi vibaya sasa hivi mnanuka dunia nzima. Wauaji.Kwangu mimi Tundu Lisu amestahili yakiyomkuta, na hayo machungu na mateso natumaini atajifunza, usaliti haulipi!
Uchawi sio lazima ushike dawa,hata Amini alikuwa na akina maliamungu nyuma yake,na ukitaka kumuua mbwa mpe jina baya,mmeferi vibaya sasa hivi mnanuka dunia nzima. Wauaji.