Glory to God! Nimenusurika ajali

Pole sana..jiskilizie kama uko fit kweli ...then nashukuru Mungu na l utowe sadaka ..

Ukome kiume kwenda mbio kama bara bara ni yako peke yako...mpaka umeua ndama sawa?
 
Nenda hospitality for full medical medical checkup
 
Matumizi ya
Lugha

#usiseme nimenusurika ajali
Maana ajali hujanusurika ila umenusurika kifo.
# ng'ombe mdogo
Ungesema tu ndama

Ushauri
Uko physically fit ila unaweza kuwa physiologically unfit. Kamwone daktari.

POLE SANA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Japo kua unasema uko fit ila nakushauri kafanye check up kwanza kujilizisha Kama kweli uko fit

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Andaa kasherehe flani hivi ka kumshukuru Mungu, niweke kwenye kamati ya michango
 
Japo kua unasema uko fit ila nakushauri kafanye check up kwanza kujilizisha Kama kweli uko fit

Sent using Jamii Forums mobile app
Usithubutu kabisa kufanya check up, maana majibu ya vipimo yote yataonyesha positive, kama mapapai, fenesi na mbuzi wote wamekutwa positive wewe ni nani mpk vipimo vionyeshe mzima.
Jitahidi tu kupiga nyungu ya kutosha, kula malimao na tangawizi kisha piga push up.
 
Pole mkuu.
Hongera kwa kupona..ni wachache Sana wanapona kwenye ajali..kupona ni bahati..kifo Cha ajali hakina kujiandaa..amini si kwa ujanja wako.

Kwanini Mungu amekunusuru?
Sababu ni kuwa Anakupenda..Bado Anahitaji umtumikie..Anahitaji uyaishi mapenzi yako .
Kama Bado hujaanza kumtumikia kikamilifu embu anza leo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole, nenda hospital kwa ajili ya check kujiridhisha zaidi, unaweza kuwa umepata Internal trauma au bleeding, sasa hivi huwezi kujua. Pole sana
 
Nasilia mtu aki karibia kudead hasikii maumivu yoyote


Nasikia tu jaman sija sema kitu ooh


Dark Side
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…