Wont be the same
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,564
- 2,483
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kawe kupitia ACT Wazalendo, Glory Tausi ameeleza kuwa No reforms No Election ya Mbowe ilikuwa na mlango wa kutokea kuelekea kwenye Uchaguzi, na anaamini wangeshinda na kutangazwa lakini No Reforms No election ya pili (ya Lissu) imekuja na nginjanginya ingawa bado anaaamini inaweza kuleta majibu pia.
Itakumbukwa pia Glory alikuwa ni miongoni mwa Kundi la G 55 ambao walitawanyika na kuelekea katika vyama mbalimbali vya siasa hapa nchini ikiwemo CHAUMMA na ACT Wazalendo.
Source: Chief Odemba
Itakumbukwa pia Glory alikuwa ni miongoni mwa Kundi la G 55 ambao walitawanyika na kuelekea katika vyama mbalimbali vya siasa hapa nchini ikiwemo CHAUMMA na ACT Wazalendo.
Source: Chief Odemba