unatoa mia tano kusoma IJUMAA? kweli we umepinda!!!
Gazeti gani ulitaka kusoma? Kwanini? Umeanza lini? Nani alikufundisha? Ili iweje? Samahani,mwenzio mimi mwanasheria....nimezoea maswali. Mkuu,ipotezee tu hiyo jero lakini siku nyingine kuwa makini
Hembu Mkuu post vitu vya maana, magazeti ya udaku peleka malalamiko yako kwa mamlaka ya udaku na wala si hapa JF.
unatoa mia tano kusoma IJUMAA? kweli we umepinda!!!
I see, next time jitahidi kuwa na staha katika kauli zako mkuu. Kuna watu wanasoma magazeti ya udaku na ni wastaarabu sana na wasomi kuliko wewe unayewadharau wenzako kwa kiingereza chako kibovu.Kama wewe ni JF Member na bado unasoma MAGAZETI YA UDAKU basi ujue
"YOUR RUBISH IN A RUBISH PIT"
Hiyo hela katoe SADAKA
Kama wewe ni JF Member na bado unasoma MAGAZETI YA UDAKU basi ujue
"YOUR RUBISH IN A RUBISH PIT"
Hiyo hela katoe SADAKA
Gazeti ni risasi.
Nimeiweka hapa makusudi, ili kama kuna mamlaka husika ifuatilie hilo kwani yawezekana ni watanzania wengi "wameshatapeliwa"
Risasi? imekupata ya kichwa au? na bado unapumua!