Blank page JF-Expert Member Joined May 28, 2015 Posts 6,157 Reaction score 6,299 Jan 21, 2017 #1 Habari zenu wakuu? wakuu natafuta mtu ambae yupo dar hapa anayeuza glass screen protectors za simu mbalimbali,kama vile iphone,tecno,samsung na itel kwa bei rahisi ya jumla hata rejareja naomba tuwasiliane na nimpate kwa haraka tafadhali.nipm
Habari zenu wakuu? wakuu natafuta mtu ambae yupo dar hapa anayeuza glass screen protectors za simu mbalimbali,kama vile iphone,tecno,samsung na itel kwa bei rahisi ya jumla hata rejareja naomba tuwasiliane na nimpate kwa haraka tafadhali.nipm