Glass Protecta bei ya jumla nauza 1500 tu

hehehe we kweli ni mtanzania halisi hatuna shaka na utaifa wako aisee

Mbona umemjibia au upo humu Kwa kuaribia wenzio biashara zao, yeye mwenyewe kakaa kimya anafikiria Kama itamlipa au laa ili atowe jibu. Katika akili yako ume crame China tu au sio? Tuliza ball
 
[emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6]
Hazipungui bwana mi niliona utani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom