PROFESSOR JOACHIM
Member
- Oct 11, 2015
- 49
- 35
DINI ZOTE ZINATOKA KWA SHETANI
Kama kweli si za shetani kwanini zimeshindwa kuwafanya kuwa watakatifu?
kwanini ni chanzo cha kuvuga amani ya dunia?
Mbona Bwana Yesu hakuleta dini ya kikristo?
Mbona kuna wakristo mashoga?
Mbona kuna wakristo waabudu sanamu?
Mbona kuna wakristo wanaomba omba na kuombea wafu? wakati katka kitabu cha kumbukumbu la torati biblia inasema "KUOMBEA WAFU NI MACHUKIZO KWA BWANA?"
NANI ALIYEWAAMURU KUFANYA MACHUKIZO HAYO KAMA SI SHETANI?
KWANINI WAISRAMU MNACHUKIA WAKRISTO HATA KUWAITA MAKAFIRI?? NI MUNGU GANI HUYO MWENYE CHUKI? BIBLIA INASEMA "KILA AMCHUKIAYE MWENZAKE NI MUUAJI"
WAUAJI WOTE SEHEMU YAO …NI JEHANAMU YA MOTO.
DINI ZIMESHINDWA KUWAFANYA KUWAWATAKATIFU, WAZEE WA PORN, MASTERBATION, UONGO, CHUKI, N.K.
LAKINI UKIOOKOKA UTABADILISHWA NA BWANA YESU KRISTO.........YEYE ANASEMA "NILIKUJA KUTAFUTA NA KUOKOA KILICHOPOTEA"..........Luka19:9,10, Mathayo 18:11, Yohana 3:17,n Luka5:32, 1Timotheo1:15.
Mtu aliyeokoka ni tofauti kabisa na mkristo wa dini. Sifa ya mtu aliyeokoka ni kwamba Mungu anaishi ndani yake, Pia anaishi maisha matakatifu, anatenda miujaza. Soma Marko 16:15-18.
Waisramu waulizeni wakristo je, ni wapi Bwana Yesu alisema ameleta dini ya kikristo?
Swali la pili, mbona Bwana Yesu anaitwa MWOKOZI (Tito2:13) na pia anasema "ALIKUJA KUOKOA ULIMWENGU NA DHAMBI"...........Mbona ninyi wakristo mnakataa KUOKOLEWA DHIDI YA DHAMBI?
Mbona biblia inasema ukimfata Bwana Yesu unakuwa mtakatifu, Mbona ninyi si watakatifu enyi wapigapuri wa kiwilaya? Soma mathayo:5:48, 1Petro1:15.
Pia mbona ninyi wakristo mnaombea watu waliokufa, wakati Mungu anasema ni machukizo kwake, pia ANASEMA KILA MTU ATAVUNA ALICHOPANDA? Wagalatia6:7.
Ndugu zangu waisramu, Mungu wangu haitambui dini ya kikristo, bali kupitia Bwana Yesu kristo alileta WOKOVU.
KAMA WEWE NI MCHAWI UNAJUA VIZURI KWAMBA "UNAWEZA KUWAROGA WAISRAMU, WAKRISTO N.K LAKINI HUWEZI KUMROGA MTU ALIYEOKOKA, HUWEZI HUWEZI, NA UNAJUA AKIWA KATIKA MAOMBI ANAVYOKUPA MATESO"......KAMA WEWE NI JINI/PEPO UNAJUA WAZI KWAMBA UNAWEZA KUINGIA NDANI YA MUISRAMU, AU NDANI YA MKRISTO N.K LAKINI HUWEZI KUINGIA NDANI YA MTU ALIYEOKOKA KWANI YESU ANAISHI NDANI YAKE.
KAMA WEWE NI MUISRAMUL UNAJUA "UNAWEZA KUIKOSOA DINI YA KIKRISTO LAKINI HUWEZI KUKOSOA WOKOVU WA YESU KRISTO, PIA HUWEZI KUMKOSOA MTU ALIYEOKOKA LAKINI UNAWEZA KUMKOSOA MKRISTO"
Watu fulani watu fulani walinijibu kipumbavu na mimi nikawajibu sawa na upumbavu wao afu wakasema NAWATUKANA............."NIUPUMBAVU KUMWAMBIA DAKTARI ALIYETHIBITISHA KUWA WEWE NI KICHAA KWAMBA AMEKUTUKANA"
BIBLIA INASEMA "MJIBU MPUMBAVU SAWA NA UPUMBAVU WAKE, ASIJEKUJIONA ANAHEKIMA"
HIVYO KILA MPUMBAVU ALIYENIJIA KIPUMBAVU, NILIMJIBU KIPUMBAVU NA AKAANZA KULALAMIKA KWAMBA NAMTUKANA........."USINGEKUWA TUSI USINGETUKANIA......PUMBAVUU!!"
Mungu alimwambia tajiri mbinafsi hivi "Mpumbavu wewe, leo hii wanakujakuchukua roho yako, je vitu ulivyojiwekea ili utumia kwa tamaa zako atachukua nani?"
Wokovu unaweza kukufanya kuwa mtakatifu, wokovu umeokoa na kuwabadilisha makahaba, wachawi, walevi, majambazi na watenda dhambi kuwa watakatifu........lakini ndani ya dini wamejaa wazinzi, waongo, majambazi, wachawi, n.k na wewe unajijua pamoja na dini yako bado ni mzee wa uzinzi,porn,uongo n.k
BIBLIA INASEMA "SISI JE TUTAPATE KUPONA TUSIPOJALI WOKOVU MKUU NAMNA HII?" ………mbona haisema tusipo jali dini? Waebrania2:3.
waebrani 12:14 inasema "Hakuna atakayeingia mbingu kama si mtakatifu"
Zaburi34:14, Mathayo 5:8, warumi 12:18, 2Timotheo2:22.
Sisi tuliokubali KUOKOKA, BIBLIA INATUITA WATAKATIFU. Soma 1Petro2:9 Katika kitabu cha zaburi biblia inasema "WATAKATIFU WALIOKOKA DUNIANI HAO NDIO WALIO BORA, HAO NDIO ANAPENDEZWA NAO"
WOKOVU UMEWEZA KUNIFANYA KUWA MTAKATIFU. Kabla ya hapo nilikuwa mkristo wa dini, nilibatizwa nilipokea kipaimara LAKINI HAVIKUNISAIDIA KUWAMTAKATIFU, PAMOJA NA KUHUDHURIA IBADA LAKINI HAIKUFAA KITU.
LAKINI NILIPOHUBIRIWA INJILI NILIAMINI NIKAMPOKEA YESU MOYONI, NIKAOKOKA, NIKABADILISHWA NA KUWA MTAKATIFU/KIUMBE KIPYA. NGUVU ZA MUNGU ZILIINGIA NDANI YANGU NA KUNIBADILISHA, NILICHUKIA DHAMBI KULIKO KINYESI..........Warumi 10:9-10. Yohana3:3, Ufunuo 3:20, Marko13:14, Yohana 14:23, Luka 12:36, Luka 22:29.
Dini zinawambia mkitenda mema mtaingia mbinguni. Lakini Biblia inasema "Hakuna atakayehesabiwa haki kwa matendo ya sheria bali kwa IMANI kupitia Bwana Yesu" Wagalatia 3:10-11.
matendo ya sheria/matendo mema hayawezi kukupeleka mbinguni kama usipookoka na kutenda matendo mema.
Mungu anamaana gani ktk haya?
Biblia inaonesha kwamba kama Mungu angetumia kigezo cha MATENDO…kuwa factor ya kwenda mbinguni HAKUNA HATA MMOJA ANGEINGIA MBINGUNI, KWANI HATA KAMA UNATENDA MEMA LAKINI HUWA UNATENDA DHAMBI PIA, SASA KIGEZO CHA MATENDO KIKITUMIKA KAMA NJIA YA KUINNGIA MBINGUNI HAKUNA ATAKAYEINGIA MBINGUNI KWANI "MATENDO MAOVU ULIYOYATENDA YANANAKUZUIA USIINGIE MBINGUNI"...........SASAKWELI UNATENDA MEMA, LAKINI HUWA UNATENDA MABAYA PIA, SASA YALE MABAYA YANAKUZUIA KUINGIA MBINGUNI.
ILI KUTUOKOA WATU WAKE NA ADHABU YA MATENDO MABAYA, MUNGU ALIMLETA MWANA WAKE YESU KRISTO (Yohana3:16) ili apate ADHABU YA MATENDO YETU MABAYA ILI SISI TUSAMEHEWE NA KUPEWA NEEMA YA WOKOVU, KUOKOLEWA KWANZA NA DHAMBI (KUTAWALIWA NA UOVU), PILI KUOKOLEWA NA JEHANAMU YA MOTO.
Ndio maana sisi tuliookoka biblia inasema "TUMEOKOLEWA KWA NEEMA"----(Na hapa niwachane live wakristo mnaosema hakuna wokovu duniani, ninyi ni waongo na watoto wa shetani kwani BIBLIA INATWAMBIA SISI TULIOOKOKA KUWA "MUMEOKOLEWA KWA NEEMA SI KWA KUTENDA MEMA, MSIJISIFU") Waefeso 2:8-9. Wagalatia 2:16.
Hivyo kwa mujibu wa biblia matendo pekee hayawezi kukupeleka mbinguni, mpaka Umpokee Yesu upate msamaha wa dhambi kupitia Yeye kuteseka kwaajili ya makosa yako hivyo badala MATENDO YAKO MABAYA YAKUZUIA KUINGIA MBINGUNI, YESU AMETESEKA NA KUFA KWAAJILI YA DHAMBI ZAKO ILI USIHUKUMIWE. Soma warumi8:1
Kipindi Mungu anatafuta nani aweze kujitoa muhanga kulipia adhabu ya dhambi za wanadamu wote, alitafuta duniani akakosa, kwani ili hitajika APATIKANE YEYE ASIYEKUWA NA HATIA YEYOTE NDIPO ATESEKE NA KUFA KWAAJILI YA DHAMBI ZA WATU WOTE. Ndipo baada ya Mungu kukosa mtu atakayejitoa kwaajiri ya wanadamu akaamua kumtoa Bwana Yesu (Soma warumi 3:23-26, warumi 4:24-25), 1Wakorintho 15:17, 1Petro 2:21-24.
KAMA UNGEKUWA HUJAWAHI KUTENDA DHAMBI HATA SIKU MOJA, MATENDO YAKO YANGEKUINGIZA MBINGUNI, KAMA ILIVYOKUWA KWA BWANA YESU, HAKUTENDA DHAMBI YEYOTE NDIO MAANA ALIPAA KWENDA MBINGUNI.
NANI ATAKAYELIPIA DENI LA DHAMBI ZAKO??……Muhammad hakuweza maana hata mwenyewe alitenda mabaya kama wengine, musa hawezi, malaika hawezi, mariamu hawezi! Je, nani anaweza kulipia gharama ya makosa yako? Ni Bwana Yesu tu ndiye anaweza kukuokoa kupitia mateso yake na kufa kwake na kufufuka AMENI.
KAMA UNATAKA BWANA YESU AKUSAMEHE, AINGIE MOYONI MWAKO AKUTAKASE NA MAOVU YAKO KWA DAMU YAKE ILIYOMWAGIKA PALE MSARABANI, BASI OMBA SARA HII FUPI KWA IMANI:
SEMA, "Mungu Baba, nakuja mbele zako, mimi ni mwenye dhambi, NAOMBA UNISAMEHE DHAMBI ZANGU ZOTE,
eeBwana Yesu nakupokea moyoni uwe Bwana na mwokozi wa maisha yangu, AMENI"
Sasa umeokoka. Ili udumu ktk wokovu NENDA KASALI KATIKA KANISA LA WATU WALIOOKOKA ILI UJIFUNZE JUU YA WOKOVU NA KUISHI MAISHA MATAKATIFU.
"KIPOFU HAWEZI KUMUONGOZA KIPOFU MWENZAKE, WOTE WATATUMBUKIA SHIMONI"
Toka ktk makanisa/miskiti inayoongozwa na vipofu. Njoo ujiunge na makanisa YANAYOFUNDISHA JINSI YA KUMSHINDA SHETANI, YENYE NGUVU ZA MUNGU.
Angalizo: shetani hakuruhusu utoke, ktk dhehebu lako/dini yako anajua ukihama na kujiunga na watu waliookoka utajifunza jinsi ya kumshinda na kuingia mbinguni. Kazi ni kwako, kumsikiliza shetani au Mungu.
Kanisa zuri unaloweza kusali ni T.A.G AU E.A.G.T.
Kwa maombi/ushauri Piga namba 0766 386 872.
KARIBU KATIKA AKAUNTI YANGU YA FACEBOOK UJIFUNZE ZAIDI.