B blooms Member Joined Dec 20, 2016 Posts 52 Reaction score 41 Dec 23, 2016 #1 Msanii WA kizazi kipya maluufu kama belle9 ameachia wimbo wake mpya alioupatia jina give it to me.. .pongezi Kwakweli video IPO pouwa.. .
Msanii WA kizazi kipya maluufu kama belle9 ameachia wimbo wake mpya alioupatia jina give it to me.. .pongezi Kwakweli video IPO pouwa.. .
pistmshai JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 1,313 Reaction score 3,689 Dec 23, 2016 #2 Na hivi kaingizia swaga za Saida kama alivyofanya Kaka yao[emoji38] Subiri washambuliaji wanakuja..
Leak Platinum Member Joined Feb 22, 2012 Posts 52,942 Reaction score 43,601 Dec 23, 2016 #3 Hakuna kitu huo ni wimbo mbovu kabisa ukilinganisha na nyimbo ambazo amewai kutoa...
Mr Q JF-Expert Member Joined Aug 16, 2012 Posts 22,211 Reaction score 50,841 Dec 23, 2016 #4 watu wamedhamiria kurudi kwa kishindo zile timu mbili zile inabidi zijipange. wimbo muzure ila mkito nimesikia kama mwepesi hivi wangeuongeza kidogo. video ipo powaaaaa!
watu wamedhamiria kurudi kwa kishindo zile timu mbili zile inabidi zijipange. wimbo muzure ila mkito nimesikia kama mwepesi hivi wangeuongeza kidogo. video ipo powaaaaa!
Daudi Mchambuzi JF-Expert Member Joined Nov 25, 2010 Posts 62,190 Reaction score 128,272 Dec 23, 2016 #5 Ruttashobolwa said: Hakuna kitu huo ni wimbo mbovu kabisa ukilinganisha na nyimbo ambazo amewai kutoa... Click to expand... Nyimbo ipi ambayo amewahi kutoa inaizidi hii?
Ruttashobolwa said: Hakuna kitu huo ni wimbo mbovu kabisa ukilinganisha na nyimbo ambazo amewai kutoa... Click to expand... Nyimbo ipi ambayo amewahi kutoa inaizidi hii?
yajutu JF-Expert Member Joined Sep 5, 2016 Posts 951 Reaction score 1,208 Dec 23, 2016 #6 Huyu belle9 kila siku ana shuka kiwango namshauri aombe chaka Wcb tu maana hakuna namna
Big Deal Senior Member Joined Nov 13, 2016 Posts 174 Reaction score 79 Dec 23, 2016 #7 Belle kila anavyokuja ni fireeeeeeeeeeee
princess ariana JF-Expert Member Joined Aug 19, 2016 Posts 9,687 Reaction score 19,359 Dec 23, 2016 #8 mimi nineupenda
screpa JF-Expert Member Joined Sep 10, 2015 Posts 10,921 Reaction score 15,981 Dec 23, 2016 #9 Wimbo ni mzuri, tatizo ni kuingiza tena vionjo vya wimbo wa Saida ambao umerudiwa hivi karibuni, watu wanachukulia kama amekosa ubunifu
Wimbo ni mzuri, tatizo ni kuingiza tena vionjo vya wimbo wa Saida ambao umerudiwa hivi karibuni, watu wanachukulia kama amekosa ubunifu
B blooms Member Joined Dec 20, 2016 Posts 52 Reaction score 41 Dec 23, 2016 Thread starter #10 screpa said: Wimbo ni mzuri, tatizo ni kuingiza tena vionjo vya wimbo wa Saida ambao umerudiwa hivi karibuni, watu wanachukulia kama amekosa ubunifu Click to expand... Kapandia kitonga
screpa said: Wimbo ni mzuri, tatizo ni kuingiza tena vionjo vya wimbo wa Saida ambao umerudiwa hivi karibuni, watu wanachukulia kama amekosa ubunifu Click to expand... Kapandia kitonga