Girls

kachumbari

Senior Member
Nov 1, 2010
125
8
Rules for girls: you can't trust something that has 2 heads and the smallest head makes most of the decisions.(USIAMINI KITU CHENYE VICHWA VIWILI NA WAKATI AMBAPO KICHWA KIDOGO NDIO CHENYE MAAMUZI YOTE.)
 
Ha ha ha haaaaaaaaaaaaa,nashukuru kwa ushauri mzuri!:smile-big::smile-big::smile-big:
 
Ha ha ha haaaaaaaaaaaaa,nashukuru kwa ushauri mzuri!:smile-big::smile-big::smile-big:

shost mmh samahan mwenzio apo nimetoka kapa..ebu njoo uku chemba unambie et kasemaje..asi unajua tena chngereza aruka ruka apa...

ahh mwambie skui ingne atumie kiswahili..hajui km kilisanifishwa mwaka 1925 na mwingereza?
 
Rules for girls: you can't trust something that has 2 heads and the smallest head makes most of the decisions.(USIAMINI KITU CHENYE VICHWA VIWILI NA WAKATI AMBAPO KICHWA KIDOGO NDIO CHENYE MAAMUZI YOTE.)

:Cry::Cry::Cry:..chjaelewaaaaaaaa mimi...chjalewaaaaaaaaaaaa ata kduchu..
 
wanawake...msimuamini na kumtegemea sana mwanamume ambaye mawazo yake yameegemea sana ushauri wa kutoka kwenye mpangaji aliomo katika suruali yake..
 
Rose leo umeamka na hamu ya kulia tu.......toka asubuhi we ni kilio angalia usijekaukiwa sauti mdogo wangu!!

ahh kuna watu wachokoz sana umu ndan

sasa uyu ajui km mwenzake sielewi maneno yenye falsafa kubwa+lugha yake NYEUPE mi siielew....wenzangu wote wameelewa mi peke yangu skuelewa...
nw stalia tena...m startng..:smile-big::smile-big:
 
Rules for girls: you can't trust something that has 2 heads and the smallest head makes most of the decisions.(USIAMINI KITU CHENYE VICHWA VIWILI NA WAKATI AMBAPO KICHWA KIDOGO NDIO CHENYE MAAMUZI YOTE.)

Je na wale vichwa vyote viwili vimelingana kwa ukubwa? kama huamini kula chabo kwa Inkoskaz!!!!!
 
Back
Top Bottom