kidole007 zama zile zilishapita sasa tuko zama hizi na zama zinazokuja sijui zitakuwaje na hakuna zama itayokopy zama ingine, kila zama itaona zama iliyopita ilikuwa imepitwa na wakati. We hakikisha mkeo hafanyi usiyotaka, huwezi mzuia dada yako maana anapendwa na mwanaume mwingine. Pia hakikisha binti yako haingii kwenye hayo unayoyaona maovu na kijana wako asiwe chachu ya kutake advantage ya waschana wasiojua kusema hapana. Play ur role and u'll see changes from ur generation onwards.
Change ni mimi na wewe na si kulalama na kukaa kimya, action is needed.
Sio ujionee tu, nawe pia ujimwaye mwaye na mafyoto!
aww nimetumia neno 'kama'
matumizi ya neno kama nafikiri yanajulikana
Wengine sura zetu zinaleta vairas kwenye kompyuta!
Bora nitizame zenu nioshe macho....
teh! una utani wewe . . . sura yangu mwenyewe full topetope, hata siipelekagi huko.
Kuna smart phone na maeditting ya nguvu . . . unang'arishwa ka tanzanite best!
Nah my dia! The guy has a point labda namna ya uwasilishaji tu ndio kakosea kido! nyinyi wadada ndio waathirika wakubwa wa culture hizi za kucopy majuu na kupaste huku underground! inge kuwa vyema hizo zama ukazitumia mazingira sahihi! ni lazima zama kucopy zama nyingine ndio maana leo asilimia kubwa ya vitu walivyo tumia zama hizo leo ndio new fashion huku underground! Dada stage hailukwi ukiluka utairudia tu hata kama muda umekuacha!!!!!!!!!! Kwa hili mnapaswa kubadilika! unajilinganisha na mtu wa nchi ambayo sheria zake si sawa na za kwenu nini unategemea?kidole007 zama zile zilishapita sasa tuko zama hizi na zama zinazokuja sijui zitakuwaje na hakuna zama itayokopy zama ingine, kila zama itaona zama iliyopita ilikuwa imepitwa na wakati. We hakikisha mkeo hafanyi usiyotaka, huwezi mzuia dada yako maana anapendwa na mwanaume mwingine. Pia hakikisha binti yako haingii kwenye hayo unayoyaona maovu na kijana wako asiwe chachu ya kutake advantage ya waschana wasiojua kusema hapana. Play ur role and u'll see changes from ur generation onwards.
Change ni mimi na wewe na si kulalama na kukaa kimya, action is needed.
Ni kweli mkuu action is needed but still wanawake ni wahanga zaidi wa hili. Mungu atusaidie tuwe na uzao bora ili uje uwe msaada kwa jamii inayopotea.kidole007 zama zile zilishapita sasa tuko zama hizi na zama zinazokuja sijui zitakuwaje na hakuna zama itayokopy zama ingine, kila zama itaona zama iliyopita ilikuwa imepitwa na wakati. We hakikisha mkeo hafanyi usiyotaka, huwezi mzuia dada yako maana anapendwa na mwanaume mwingine. Pia hakikisha binti yako haingii kwenye hayo unayoyaona maovu na kijana wako asiwe chachu ya kutake advantage ya waschana wasiojua kusema hapana. Play ur role and u'll see changes from ur generation onwards.
Change ni mimi na wewe na si kulalama na kukaa kimya, action is needed.
kidole007 zama zile zilishapita sasa tuko zama hizi na zama zinazokuja sijui zitakuwaje na hakuna zama itayokopy zama ingine, kila zama itaona zama iliyopita ilikuwa imepitwa na wakati. We hakikisha mkeo hafanyi usiyotaka, huwezi mzuia dada yako maana anapendwa na mwanaume mwingine. Pia hakikisha binti yako haingii kwenye hayo unayoyaona maovu na kijana wako asiwe chachu ya kutake advantage ya waschana wasiojua kusema hapana. Play ur role and u'll see changes from ur generation onwards.
Change ni mimi na wewe na si kulalama na kukaa kimya, action is needed.
Hahaha! Ati topetope... teh! Umenikumbusha hizo enzi nakula topetope mpaka mtu haoni mdomo uko wapi!
let mungu aside
tuongee tu ktk hali ya kawaida
mtoto wa kike usiku wa manane uko bar??
Bora uwe na boyfriend au kaka umetoka nae
unakuta kundi tu la madada wametoka wenyewe
teh! una utani wewe . . . sura yangu mwenyewe full topetope, hata siipelekagi huko.
Kuna smart phone na maeditting ya nguvu . . . unang'arishwa ka tanzanite best!
kuna kosa gani mwanamke kuwa bar hadi saa 9 nani kasema mwanaume ndio anatakiwa kuwa hadi muda huo.....unasema bora uwe na bf wakati wenyewe mnakimbia kutoa ofa mnasema mnachunwa wakiamua kuwa wenyewe mnawaita malaya lipi jema waache wajipe raha wenyewe kama wewe unavyojipa

Haya kweli ni majanga though sio kila mwanaume yuko ulivyoanalyse...
Mabinti wamekuwa si waoga tena na wako rase kuliko boda boda. Matendo ambayo mama zao waliyafanya sirini kwa kuyaonea haya wao hawaoni haya tena! Acha watumike tu na wanaume walivyo mafia anakutumia weee ukishakuwa scraper anatupa kule anakamata mtoto wa kienyeji anamvalisha shela! Wa mjini mtasubiri sanaaaaaa!
Haha working na camera360 lol no need ya photoshop ni kutafuta venue tuu