Dnt justify eti mwanaume ana uhuru wa kufanya yote hayo, Mungu hapendi!!
Baasi
kuna tabaka la wasichana hapa mjini wengi wapo in their 20s,wanafikiri maisha ni kufanya starehe
mtoto wa kike unakesha baa, getting wasted kama wanaume
mtoto wa kike vijiwe vyote vya sheesha unavijua
Mbaya zaidi mtoto wa kike una sleep around tu na kila dume kama tunavyofanya wanaume
khaa eti ndio umjini au nini
ukijashtuka uko in early 30s unataka kuolewa nani atakuona gume gume na reputation yako
huko instagram tunawachora tuu mnavyojianika
mbaya zaidi hii syndrome imeanza kuwa epidemic kwa wanawake wasomii
tunao maofisini,
wanaume wengi they are not complaining including mimi kidole sabab tunabenefit na easy sex, ung'ang'anizi unapungua etc
But one thing for sure we'll have fun but i will never take u to my mama
take it slow starehe fanya but kwa kiwango cha mwanamke
Itabidi nijiunge huko insta.. nioshe macho!
una niuliza tena!
Badala ya kujustfy kauli yako ya 'what a man can do a woman can do'
What a man can do a woman can do!!
Sio ujionee tu, nawe pia ujimwaye mwaye na mafyoto!
Swali ju ya swali
you only live once anyway hakuna aliye na haki ya kumisbehave si mwanamke au mwanaume kwani wewe mwanaume unavyolala na wanawake hovyo ni sifa eti kisa amejirahisi ni ujinga jiheshimu
kidole007 zama zile zilishapita sasa tuko zama hizi na zama zinazokuja sijui zitakuwaje na hakuna zama itayokopy zama ingine, kila zama itaona zama iliyopita ilikuwa imepitwa na wakati. We hakikisha mkeo hafanyi usiyotaka, huwezi mzuia dada yako maana anapendwa na mwanaume mwingine. Pia hakikisha binti yako haingii kwenye hayo unayoyaona maovu na kijana wako asiwe chachu ya kutake advantage ya waschana wasiojua kusema hapana. Play ur role and u'll see changes from ur generation onwards.
Change ni mimi na wewe na si kulalama na kukaa kimya, action is needed.