Mbekenyero5
Member
- Apr 2, 2015
- 93
- 14
Wengine wanayo makubwa mpaka socxy ya matako haikai
sasa mkuu ulitaka tusifie nini??Ukiona 70% ya maneno unayosifiwa unasifiwa hiyo fat booty stuka,wakati mwingine unajua huna hata kubwa kakazania kusifia hapo hapo....unapotezea mda anarudi hapo hapo kusifia hapo tu,...tuwe wazi bhana Mimi nikisifia kitu naipenda nikitumie,kwahiyo ukiruhusu mazingira ya kusifiwa booty jua tu utaachia siku moja.
Mkuu watokea barabara ya ngapi weyeMie mjini hapa mgeni nimekuja na bus la RAHA LEO
Mkuu hii research yako irudie tena huenda kwenye literature review kuna vitu umevikoseaKwa taarifa Tu wasio NA makalio NA wembamba ndio watoa Goti wakuu......wenye booty kubwa automatically wako defensive ....Sio wote wanapenda hayooo NA mtagombana hata ukiulizia tu