Girls never loose such guy with these qualities!

ukiwa na pesa hayo yote ufanyi na mwanamke anakuganda,ukiona hivyo ujue huna kitu ndo utafanya yoye hayo na atakuendesha
 
Switone are u married with a boy. As per heading its boys qualities he didnt say for a man.

Kwan waliopo kwenye ndoa ni watu wazma tu...We ar still young hata 26 hatujafikisha but we get married mda c mrefu n we are enjOying da life.
 
Mh, hapo kwenye kulia majanga, atajishushia reputation yake kwangu.
 
I did all to her but she pushed me away,it pains but I'm done wth her now.

he! na kulia ulilia? pengine ulivolia ulimtisha mkuu, maana sura hubadilika kwenye hilo swala la kulia.:Cry::Cry::Cry::Cry::Cry:
 
he! na kulia ulilia? pengine ulivolia ulimtisha mkuu, maana sura hubadilika kwenye hilo swala la kulia.:Cry::Cry::Cry::Cry::Cry:

Teh teh teh, Nlilia ila baadae naye alikuja akaniambia alilia nlivyoondoka,kwahyo tulilia wote sema mda tofauti.Alafu c unajua kulia kwa men tena,chozi tu linadondoka sauti hakuna,hapo unajua hapa tembo kazdiwa na mkonga wake hapa!
 
Kama kawa alivyoôna nmezimka si akaanza kunizngua,nkatua mzingo nkabaki mwepesi,ila after tumekuwa wote kwa mda hvi,a yr
woooooooooooooow, crying for each other, intresting, ama mnakadamu ka kihindi na kifilipino kwa mbali?
 
Zote sifa anazo ndio maana nampenda:thumbup::thumbup::thumbup::thumbup:
 
After all of this, you won't be a man anymore, just a feminized man.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…