Girls, is it worth being a second wife?



Haujui Kiingereza mazafaka!
​
 

ungeandika kiswahili ingekuwa inasomeka vizuri sana.hata hivyo mazoezi ya lugha si mbaya
 
Tatizo si mathna,tatizo uadilifu kutoka kwa mume ataweza?na wanawake hasa bi.mdogo wengi wanakuja na shari tena wengine limbwata linahusu.Km uadilifu ungekuwepo poa tu,mbona zamani mababu walikuwa na wake hadi 12.
 
ungeandika kiswahili ingekuwa inasomeka vizuri sana.hata hivyo mazoezi ya lugha si mbaya

kiingereza chake kiko vizuri sana na kinaeleweka, labda wakosoaji mna matatizo binafsi! Nadhani mtoa mada alitaka kulimit wachangiaji. Kwa mfano ukitaka mada ichangiwe na walioenda shule tu basi andika kwa kiingereza. Lakini ukiandika kwa kiswahili hata wazaramo watachangia!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…