Girlfriend wangu kanitongozea rafiki yake.

Kikubwa jiongeze "kisicho ridhiki hakiliki" huyo demu sijui Anna amekutamani kama jinsi wewe ulivyomtamani (hapo hakuna upendo wa moyoni) bali kuna upendo wa matamanio

Siku ukijikuta umemwacha demu wako kwa kisingizio hicho, hiyo dhambi haitokuacha salama, hayo mahusiano mapya hayatadumu na anguko lake litakuwa kubwa zaidi, tena zaidi la anguko lililopita,,,

"Mshika viwili vyote......."

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muulize huyo rafiki yake na demu wako kama hajawahi mtongozea boyfriend wake.

Jino kwa jino

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahaha nayo ni mawazo bro.

Siez kuwa sponsor kizembe namna iyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hii issue ya ukweli Sema labda nmeshindwa kuelezea fresh..

But don't take it seriously.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inaezekana nategwa mkuu..

Nataka nijue kama kuna watu ishawapata hii situation na walimaliza vip ani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
dah ulitisha Sema ulikua na fujo sana

ungeenda taratibu tu mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa bro but mshika viwili vyote anaeza himili, inategemea na jinsi gani ameshika..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…