Girlfriend wangu ametekwa,alazimishwa kufanya mapenzi at a gun point naombeni ushauri

Wakati unamdoubt mpenzio; kama wengine wanavyoshauri! Jiulize; kama alipanga, kulikuwa na haja ya kukuambia? Si umesema uko mbali naye? After all she is no longer a virgin; angeweza kupotezea! Unamjua mpenzi wako, sisi hatumjui, uamuzi ni wako!
 
Angekuwa si malaya ungewezaje kumtoa bikra nje ya ndoa?

Jee, ulikuwepo wakati anatekwa na bastola? Au ndio story aliokupa yeye?

Usiwe ****, kama hiyo story kakupa yeye basi kakudanganya kijinga nawe umeingia mkenge kwa kuwa unamuamini sana.

Kutolewa bikra nje ya ndoa haina maana ya umalaya na ndio maana huyu kijana alimpenda mwenzie na kuwa tayari kumfanya mkewe mwakani. Kama angekuwa anamuona ni malaya basi asingethubutu kabisa kutaka kumuoa malaya. Pole sana BL kuna ushauri mzuri sana umepewa hapa ufanyie kazi, na mimi pia sioni sababu ya kumuacha huyu "wife to be" kwa sababu tu ya hili janga lililomkuta.
 
Umechezewa bonge la movie

Why should she do that? Angekuwa alikuwa hajawahi na kwa bahati mbaya/nzuri kafanya na mwingine sasa anatafuta justification ya wapi alipoi'potezea' tungekuali kuwa ameicook hii story ili shemeji hapa asimwache; au
-Amefanya kwa hiyari kisha akagundua amebeba mimba - so atamjibuje mchumbake - atatunga story ya namna hii (Hapa namshauri muhusika hata ataambiwa ana ujauzito ambao ni zao la Kubakwa- ahesabu siku/miezi) au- Amegundua kuwa kuna namna ambayo mchumbake atajua kuhusu yeye na Dr. wake so ni bora aitengeneze movie hio.
 
mmh kama amebakwa pole yake,hicho kitendo ni kibaya mno.hilo jambo hatolisahau maisha.usiombee hilo jambo likukute.na ana ujasiri mkubwa kukwambia.ila kama amekudanganya,nina amini utajua tu
 
Fine wangu mi nakushauri umuache huyo msichana cause utamtesa mtoto wa watu juu ya hizo daut zako. Muache ampate mtu ambaye hatofaham hiyo story kwani ipo siku utamnyanyasa. Kutoa dem bikra sio kipimo cha maadili anaweza akawa malaya km kawa. Km nimekukwaza sory!
 
I also agree with Kaunga. Huyo dada ni mwaminifu usikubali kumpoteza kwa sababu mwingine hata kama angebakwa au angefanya mapenzi kwa ridhaa yake asingekwambia! Kitendo cha kukwambia kaka kinanipa picha kuwa huyo ni wife material. Wewe chukulia kama umepata binti aliyekuwa na kijana mwingine kabla yako mapenzi yaendelee; baada ya kupima 3 times.

Pili nakushauri hii case ipeleke polisi kwani wasiwasi wangu huyo jamaa anaweza akachonga mzinga. Peleka polisi hata kama binti atashindwa kesi lakini record itabaki polisi kwa hiyo hawezi rudia tena.

Na wanaokupiga vijembe kwa ku mention kuwa binti ni bikra nadhani hawajakupata kwa nini umetoa hiyo personal information. Nadhani ulitaka tujue kuwa binti si kiruka njia ( so she deserves to be trusted)kwa hiyo nadhani wadau wanapaswa kuwa less critical sometimes.

Wakati unamdoubt mpenzio; kama wengine wanavyoshauri! Jiulize; kama alipanga, kulikuwa na haja ya kukuambia? Si umesema uko mbali naye? After all she is no longer a virgin; angeweza kupotezea! Unamjua mpenzi wako, sisi hatumjui, uamuzi ni wako!
 
Kama huyo Dr Jambazi ana ownership permit ya hiyo bastola basi ni ushahidi mwingine huo dhidi ya huyo jambazi kwa sababu binti asingejua kama anamiliki bastola, labda kama ana mtangazia kila mgonjwa kwamba ana chamoto.
 
Nimekumbuka kisa kimoja. Jirani yangu alivamiwa na majambazi wakaondoka na wife wake na wakaenda kumbaka tena nasikia walimgeuza mama wa watu. Alilazwa hospitali for several days. Ila nasikia ni wafanya biashara wenzake walikuwa na ugomvi nae. But the couples are still in love as if nothing happened. Sasa wafanyeje atamwacha wife. Ila niliogopa sana baada ya hilo tukio. Dunia imekwisha. Kibaya zaidi ni kwamba mtaa mzima lilikuwa gumzo.
 
peleka polisi huyo mtu! Ana makosa mawili, la kubaka na kutishia kwa bunduki! Watch out, kaonja asali atarudia tena na sasa itakuwa bila mtutu!
 
Umechezewa bonge la movie
1. Huyo Doctor alimtibu Bint akiwa form 2.???
2. Huyo bint ulianza nae 2009 na sasa yuko TIA first year????

from 1 and 2 above ni kuwa,Huyo msichana alikuwa anafahamiana na Huyo Doctor hata Before Hamjaanza nae, Correctly???
Muulize ilikuweje mpaka akawa Faragha na Dr??? Alitishiwa Bastola Hadharan???
Acha ujinga Kiddo, Dr kashakula Tundi lako, so kama unaamua kumsamehe we msamehe tu Kaka, ila hapo hakuna cha Kubakwa wa Babaake Kubakwa
 
Great thinker ni mara yangu ya kwanza kuweka bandiko humu jf,nimekuwa nikitembelea kwa muda hadi nilipoamua kujiunga na nimeona baadhi yenu mkitoa ushauri mzuri tu kwa watu wanaopatwa na masahibu mbalimbali.
Nina msichana ambaye nilikuwa nafahamiana nae tangu 2009,kwa sasa anasoma taasisi ya uhasibu tanzania mwaka wa kwanza kuna jamaa alikuwa dr wa kituo kimpja cha afya tabata ambacho kimefungwa na serikali ambaye aliwahi kumtibu huyu girlfriend wangu akiwa form two amemteka pale chuoni kwao kwa kumshikia bastola na kumlazimisha kufanya nae mapenzi,kampora simu niliyokuwa nimempa huyo msichana,am confused gt,huyu msichana nilikuwa nimepanga awe mke wangu mwaka ujao tukio hili limeniacha njia panda,nimuache kutokana na hili tukio au niendelee nae?Hili tukio limetokea usiku wa kuamkia jana.
Note:huyu msichana is one of those good girls nimemtoa bikra mwenyewe feb this year,hanywi pombe naomba asichukuliwe kama labda malaya.

Mkuu kabla ya kukupa ushauri naomba kwanza kujua chanzo chako cha hii habari ni nani? Yaani nani kakupa habari ya kubakwa huyu binti?, na fafanua japo kwa ufupi namna alivyokuelezea! yaani ilitokeaje?

tuanzie hapo.
 
Mkuu kabla ya kukupa ushauri naomba kwanza kujua chanzo chako cha hii habari ni nani? Yaani nani kakupa habari ya kubakwa huyu binti?, na fafanua japo kwa ufupi namna alivyokuelezea! yaani ilitokeaje?

tuanzie hapo.
Nina wasiwasi na hii stori,mwanamke wa hapa bongo abakwe halafu aende kuoga ndio aende polisi ? tena mwanafunzi wa chuo ? something is not right somehow ???
 
Nina wasiwasi na hii stori,mwanamke wa hapa bongo abakwe halafu aende kuoga ndio aende polisi ? tena mwanafunzi wa chuo ? something is not right somehow ???

Kamanda mwanamke akikwambia maneno haya "tuongee, nimebakwa, namchukia" basi kuwa makini sana! Hii stori inahitaji jicho la tatu. Mhusika inabidi akubali kuwa neutral ili kupata ukweli, akianza kushabikia mchumbaangu kabakwa inaweza ikaharibu uzito wote wa kesi hii. (sijarule out kwamba inawezekana kabakwa lakini umakini unahitajika katika kutatua huu mzozo)
 
Nina wasiwasi na hii stori,mwanamke wa hapa bongo abakwe halafu aende kuoga ndio aende polisi ? tena mwanafunzi wa chuo ? something is not right somehow ???
Amefumwa sasa mwanamke anasingizia kabakwa, njia mbaya kweli ya kujitetea
 
Mkuu kabla ya kukupa ushauri naomba kwanza kujua chanzo chako cha hii habari ni nani? Yaani nani kakupa habari ya kubakwa huyu binti?, na fafanua japo kwa ufupi namna alivyokuelezea! yaani ilitokeaje?<br />
<br />
tuanzie hapo.
<br />Jamaa alikwenda pale akampigia simu niko chuoni kwenu naomba kukuona,gf wangu akamwomba mwenzie amsindikize mwenzie akamwambia we tangulia nakuja,kufika jamaa akamwona akamwashia taa akamfata,akamsalimia jamaa akamwambia ingia kwenye gari kwani unaniogopa akamwambia siwezi kwa sababu nina haraka akamwomba demu akaona haina shida kuingia tu kwenye gari jamaa kamtolea hiyo bastola,akamwambia tulia la sivyo nitakufumua ubongo,then jamaa akatoa gari kufika getini bastola kamwekea kiunoni,akaendesha gari msichana hajui walienda hadi wapi akamnyanga'anya simu akaanza na mengine hayo ya kumlazimisha kudo akamrudisha hadi chuo then akamwambia unitafute usiponitafuta nikikutafuta mm utakuwa kwenye matatizo zaidi
<br />
 
Amefumwa sasa mwanamke anasingizia kabakwa, njia mbaya kweli ya kujitetea
Kuna possibility pia ya kuwa ni kisasi, Pengine mdada alikuwa na good time na Dr na sasa amekosana na Dr so anaamua kutumia mwanaume wake ili akomae na Dr kulipiza kisasi. Pia inawezekana Dr amehasimiana na mdada na sasa anataka kulipua bomu na mdada kaamua aweke kinga kabla hayajamwagika. Inawezekana kabakwa kweli, inawezekana ameambukiwa au ujauzito. All in all inategemea mdada anajielezea vipi na hili tukio. Mleta mada inabidi awe makini na achunguze kwa kina kabla kukubaliana na possibility yoyote.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom