kwa kawaida mapenz kabla ya ndoa yanapaswa yachukue muda gan then muingie ktk ndoa? nina girlfriend wangu kwa miezi miwili sasa lakin anahitaji tuish pamoja ni kwel nampenda lakin cjawa na sababu za kuoa. rafiki niokoe kwa mawazo yako.
Jamani dada wa watu labda ameshadanganywa sana huko nyuma kuhusu kuolewa halafu akawa anaishia kutendwa, ndio maana saiv hataki kurudia kosa! Ndugu jiandae kama hamtumii cndm bibie atakuambia ana mimba, mwenyewe utajikuta umeweka kitu ndani bila kupenda..! Usicheze na mwanamke akipania kufanya kitu!!
mwambie swala la kuoa sio la kuamua kesho naoa,me naamini linatokea tu lenyewe baada ya kusomana kwa muda fulan hiv,hii ilishantokea sana nachowambia ni kwamba tuombe Mungu...
Pretta hun take it easy assume amefanya typing error
Back to mada she's 22 and thinking of marriage??? kaka jiulize mara mbili,, family history ya huyo mdada ipoje?? muweke wazi,,, ndoa sio kitu cha kukurupuka.. nawasilisha
shukran sana kwa michango na mawazo yenu ndugu zangu, nimewasoma mpaka nimepitiliza. kiukwel ilinishangaza nikaona niweke kitu mezani. but dada pretta, 4give me take it easy dadangu wa ukweeeli.
shukran sana kwa michango na mawazo yenu ndugu zangu, nimewasoma mpaka nimepitiliza. kiukwel ilinishangaza nikaona niweke kitu mezani. but dada pretta, 4give me take it easy dadangu wa ukweeeli.