girl

girl

manhe

Member
Joined
Aug 2, 2013
Posts
25
Reaction score
1
naona shughuli kumtokea dada moja jina joyce nampenda cyo utani niko naye karibu sna lakini naona nikimwmbia atnichukia
 
"If the fact don't fit the theory,change the facts" by Einstein Albert.
 
Mwekee madawa ya kulevya alafu ukamfyatue tigo, ajambe wee siku nzima.
 
Wewe! Ivi hujui kama kunanjia kuu mbili za kutongoza; Direct na Indirect or Express na implied!
Haya fanyaivi: Ukimuona jifanye kama unamawaaazo! Akikuuliza (hata asipokuuliza) mwambie unahitaji ushauri wake, mwambie kuna mdada unampenda kama ni kazini, masomoni or kitaa (hakikisha humtajii mazingira ya kujistukia) mtajie jina la kubuni la huyo mdada ktk mazingira tofauti na unavyoishinae, mwambie ukimwambia ukweli huyo mdada unaweza kuharibu kazi, masomo or urafiki. Msistize huyo mdada unampenda sanaaa! Then majibu yake itakua ndio njia ya kumface direct, unaweza kumwambia uyo mdada ni wewe (serious) or kama unapicha yake unaweza kumwambia "nikuoneshe picha yake basi"(serious)!
Hahahahahahaaa..! Stay safe, Don try thiz at home!
 
kupenda upende wewe,
kutongoza tutongoze sie
mdada umfaidi wewe
MAJANGA
 
sure he should stay say!kama anampenda na huyo mdada ni mwelewa then wataelewana tu!
 
kama ww ni mwaminifu na una nia njema na yeye huezi ogopa kumwambia....ila km unataka ukafanye mambo ya kipuuzi(uzinzi) ndo mana unaogopa.
 
Back
Top Bottom