Unapoandika kutangaza biashara weka taarifa za msingi kupunguza maswali.
1. Bei kwa tani
2. Kiasi cha chini mteja anachoweza nunua
3. Unauza kwa FOB terms only ama hata CIF?
4. Payment terms
5. Location of your product
6. Contacts zako.
7. Quality ya bidhaa yako umeipima kwa vipimo gani vya kimataifa ili kupunguza maswali n.k.