ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,084
- 84,978
Takwimu zinaonyesha ongezeko kubwa la uwekezaji katika miradi ya sekta ya uzalishaji kati ya mwaka 2020 na 2024. Mwaka 2020, thamani ya uwekezaji katika sekta hiyo ilikuwa dola za Marekani milioni 635.852. Kufikia mwaka 2024, thamani hiyo ilifikia dola milioni 4,079, ikiwa ni ongezeko la dola milioni 3,443.148 sawa na asilimia 542.
Ukuaji huu mkubwa wa uwekezaji unatajwa kuwa kiashiria cha mazingira rafiki ya sera za uwekezaji zilizowekwa na Serikali ya Awamu ya Sita. Ongezeko hilo limechangia kuongezeka kwa mapato ya Serikali pamoja na kukuza uchumi wa Taifa.

====
My Take
Haters wa SSH Watapata tabu sana maana namba za Samia zinatisha sana haijawahi tokea maana Kila kitu amefaulu zaidi ya 100%.
Ni hivi hakuna force itakayomtoa zaidi ya iliyomuweka so wengine msipoteze mda na kueneza chuki na propaganda za kipuuzi.
Pia soma Gilead Teri: 2024 TIC imevunja rekodi zote za Uwekezaji ikiwemo ya mwaka 2012 kwa kusajili miradi 901 ya Trilioni 19. Ampa Rais Samia maua yake | JamiiForums Gilead Teri: 2024 TIC imevunja rekodi zote za Uwekezaji ikiwemo ya mwaka 2012 kwa kusajili miradi 901 ya Trilioni 19. Ampa Rais Samia maua yake