Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,590
- 28,762
Nguo gani hanyooshi???Ila huyu bidada kwa kiki tu amefanikiwaGiving gigy hana pasi nyumbani kwake, mbona huwa hanyooshi nguo
teh teh tehGiving gigy hana pasi nyumbani kwake, mbona huwa hanyooshi nguo
Hayo ni mambo ya camera 390 tehteh teh teh
Bad girl, umeuona mgongo wa Gigy lakini??
Au kamera ilizidisha mwanga??
Hahaha[emoji1] [emoji1] [emoji15] [emoji15]Hivi gigy hana pasi nyumbani kwake, mbona huwa hanyooshi nguo
Kwenye vocabulary yake hakunaga neno HAPANA sharti ni uwe msanii wa muziki, kisha pima supu mpaka kwa Wanigeria wee toa singo upimiwe kisha akutundike kwenye bango maana bahati mbaya hana siri.ngoja nami nitoe singo yangu nimpitie
anao sana, ila nadhan walishamtenga kitambo sana.Hivi huyu binti hana wazazi wala ndugu wenye staha na busara wamfundishe nini maana ya maisha?
Pathetic...! Halafu siku hizi kick wanazitafuta kwenye kashfa sio kwenye kazi za vipato...kina shilole jide n the likeanao sana, ila nadhan walishamtenga kitambo sana.
Kauka nikuvaeHivi gigy hana pasi nyumbani kwake, mbona huwa hanyooshi nguo
Kwa mjomba kuna kilio tehKauka nikuvae