Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 47,509
- 101,584
.mambo vipi lkn..unanispoil ujue.......but thanks......got the same......
......bebii basi chagua wapi unataka..km ushapapata mombasa nipe link..tufanye bookingNu whaaaat.....bebii.....hivi kweli umeamua niishie kwenye mkondo......?
......bebii basi chagua wapi unataka..km ushapapata mombasa nipe link..tufanye booking
..sawa....ngoja nitafute sehemu nataka kwenda...........
..unaruhusiwa...ila usiingilie maongezi yetu..hahahahahaHii Sredi ni yenu tu? Mr. & Mrs au hata wavimbamacho tunaruhusiwa?
Hahahaaa kweli hata mi nilitaka kuuliza hiliHii Sredi ni yenu tu? Mr. & Mrs au hata wavimbamacho tunaruhusiwa?
..unaruhusiwa...ila usiingilie maongezi yetu..hahahahaha
Hahahaaa kweli hata mi nilitaka kuuliza hili
Si umeona? Wamefika hadi comment kumikumi , wao tu! Mwishoe si wata ..........!
tuta ndio.....nyie endeleeni kuingia vyumbani mwa watu........