Gidabuday afichua uozo chama cha riadha, Je Fenela Mukangara anawalea akina Bayi?

jogi

JF-Expert Member
Sep 25, 2010
25,558
25,323
akihojiwa na Shafii Dauda mwanariadha mkongwe Wilhelm Gidabuday amekituhumu chama cha riadha nchini kuendesha mambo kwa namna ya ukiukwaji mkubwa wa taratibu na sheria sio tu za chama cha riadha bali pia sheria za nchi.

================FACT TO FOLLOW SOON=============
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom