Acha kutunga Uongo, mahakama ya Kenya ilishamaliza utata.
Acha uongo wwNajua wengi mnakumbuka kura za MARUHANI kule Pemba zilivyoishangaza nchi yetu Sasa ukistajabu ya Pemba ambapo MARUHANI walizaliwa baada ya kutokuwa na wagombea wa CUF ujayaona ya Nairobi.
Ghost voters (Kura za mizimu) ndizo zilizomnufaisha Rais Rutto ambapo zinakadiriwa kuwa zaidi ya 500k sawa na 3.5% ya Kura zote.
Najua mtajiuliza kuwa mizimu ilipigaje Kura.lakini pia mwahitajika kujiuliza kwa vipi MARUHANI walipiga Kura kule Pemba
WOTE MKINYAMAZA MAWE YATAONGEA.
kipo Cha kujifunza hapa kwa Wana CCM wenzangu ipo siku mizimu itafufuka kuja kututoa madarakani hata Kama tunatumia udhaifu wa watanzania kujisimika mamlakani ipo siku itafika tutatolewa
Uongo tenaAcha uongo ww
Uchaguzi umeshakamilikaNajua wengi mnakumbuka kura za maruhani kule Pemba zilivyoishangaza nchi yetu sasa ukistajabu ya Pemba ambapo maruhani walizaliwa baada ya kutokuwa na wagombea wa CUF ujayaona ya Nairobi.
Ghost voters (kura za mizimu) ndizo zilizomnufaisha rais Rutto ambapo zinakadiriwa kuwa zaidi ya 500k sawa na 3.5% ya kura zote.
Najua mtajiuliza kuwa mizimu ilipigaje kura. Lakini, pia mwahitajika kujiuliza kwa vipi maruhani walipiga kura kule Pemba.
Wote mkinyamaza mawe yataongea.
Kipo cha kujifunza hapa kwa wana CCM wenzangu ipo siku mizimu itafufuka kuja kututoa madarakani hata kama tunatumia udhaifu wa Watanzania kujisimika mamlakani ipo siku itafika tutatolewa.
Soma uzuri uzi huoUchaguzi umeshakamilika
Waacheni Wakenya wajenge nchi yao
Kabisa kabisa kabisaAfrika marais wanaoingia madarakani kihalali hakuna!
Mimi ni mtz sina maslahi yoyote na Raila au Ruto na sina ushahidi ila naamini Ruto kaiba kura na kusimikwa Rais kwa wizi wa kura manake kwa umaarufu Raila kamzidi Ruto ila Ruto nae kamzidi Raila kwa tuhuma za ufisadi na wizi wa pesa ya ujenzi na SGR!
Kwa wakenya ni bora Rais liwe jiwe kuliko kuwa Jaluo , eti wakenya binadamu , majini mizimu mashetani na vibwengo wamempa kura za halali na haramu President Ruto kisa walimwambia Raila na mkewe wathibitishe kwa vyeti vya hospital kuwa Raila hana GOVI, Raila akakataa kuthibitisha kuwa yeye sio Govinda na urais akaukosa maana raia wanaamini Raila bado ni Govinda au "our fellow uncircumcised baboon"
Wakikuyu wanaamini Govinda yoyote huwa hana akili kama Raila kagombea urais chaguzi zote tangu 1961 hadi leo hajapata urais na hana akili kuwa urais is not his fate eti sababu ana GOVI, hivi kwanini Raila hataki kutoa GOVI?
Following closely like its their birthright. Tatizo ni kwamba wengi wao(akiwemo mleta mada) hawana idea kabisa, kuhusu wanayoyafatilia na kuyajadili kwa ushabik mkubwa.I like the way tanzanians follow up Kenya news.
Utawala wa kikuyu na kalenjin. Ni hizo kabila mbili tu tangu uhuru. Tofauti na Tanzania ni kubwa sana ujue, wewe nyang'au. Bado mnaendeleza mambo ya kishamba sana.Following closely like its their birthright. Tatizo ni kwamba wengi wao(akiwemo mleta mada) hawana idea kabisa, kuhusu wanayoyafatilia na kuyajadili kwa ushabik mkubwa.
Jamaa anadhani kwamba Kenya bado tupo kwenye ushamba wa kufanya uchaguzi manual kama wao. Tangu 2013 wakenya wamekuwa wakipiga na kusajiliwa kupiga kura 'biometrically'. Kumaanisha kwamba kabla ukubaliwe kupiga kura lazima mashine za KIEMS Kit zisome 'biometrics' zako(fingerprints) kwanza, ili kuhakikisha kwamba wewe ni mpiga kura halali.
Sasa sijui jamaa anamaanishaje, kwamba baadhi ya wapiga kura walifika kwenye vituo na viganja vya mikono ya wafu au vipi?
Kindly read my comment kule juu, Kaka watz we know everything about Kenya trust me hatuandiki tu and mark my words, by 2035 Tanzania will be the largest economy in East Africa ngojeni SGR ikamilike, Nyerere Dam ikamilike na Bagamoyo Harbour zikamilike mtakuja tz kufanya vibarua!Following closely like its their birthright. Tatizo ni kwamba wengi wao(akiwemo mleta mada) hawana idea kabisa, kuhusu wanayoyafatilia na kuyajadili kwa ushabik mkubwa.
Jamaa anadhani kwamba Kenya bado tupo kwenye ushamba wa kufanya uchaguzi manual kama wao. Tangu 2013 wakenya wamekuwa wakipiga na kusajiliwa kupiga kura 'biometrically'. Kumaanisha kwamba kabla ukubaliwe kupiga kura lazima mashine za KIEMS Kit zisome 'biometrics' zako(fingerprints) kwanza, ili kuhakikisha kwamba wewe ni mpiga kura halali.
Sasa sijui jamaa anamaanishaje, kwamba baadhi ya wapiga kura walifika kwenye vituo na viganja vya mikono ya wafu au vipi?
Upuuzi, kwamba Kenya ndio imekuwa ikiwakwaza kufikia malengo yenu kwa miaka yote hiyo tangia mpate uhuru? Au kwamba ili myatimize ni lazima wakenya wasifanikiwe kutimiza malengo yao? Hauleweki kabisa, hakuna nchi ambayo haina mipango ya kujiendeleza, hataY Somalia na Burundi pia.Kindly read my comment kule juu, Kaka watz we know everything about Kenya trust me hatuandiki tu and mark my words, by 2035 Tanzania will be the largest economy in East Africa ngojeni SGR ikamilike, Nyerere Dam ikamilike na Bagamoyo Harbour zikamilike mtakuja tz kufanya vibarua!
Bado tz tupate Rais afanye English as teaching language from elementary level basi wakenya hamtaweza tena kusogelea tz!
si umeona tumewafurusha wakenya kule Ngorongoro tukachukua mifugo zenyu? how did we know?
Sidhani kwamba ni kweliWakenya wangese kweli aisee unaweza kukaa nae mnaongea Kiswahili fresh tu. Akitokea mtu wa kabila yake wataanza kuongea kiluga chao.
Utawala wa kikuyu na kalenjin. Ni hizo kabila mbili tu tangu uhuru. Tofauti na Tanzania ni kubwa sana ujue, wewe nyang'au. Bado mnaendeleza mambo ya kishamba sana.
On this wise; a big YES.So you want to say that Kenya is behind tanzania?